Bado Mansite, Chelsii na Nyukesto wanawasubiria wawapige miti.View attachment 2590078
Zinny ndio naniNaanza kuamini Zinny ni mtu muhimu sana kwenye team yetu. Hua anampa sana support Partey na kuonekana bora. Anways game on, mapambano yaendelee tutakutana baada ya game 38. Overrr
Bila kusahau mmetoshana nguvu na West Ham waliocheza Alhamisi.Arsenal alitolewa Carabao cup ikaja excuse kombe halina impact, tukatolewa FA cup ikaja excuse tumelibeba sana,tukatolewa Europa ikaja excuse ya kuwa tunajipanga na Premier league trophy, now tumepoteza focus sijui excuse itakuwa ni nini, I don't know
Huku Kipara yupo Champions league, FA na Premier league yake wala haringi anabutua tu watu goal 3 na kuendelea huku sisi ambao tupo na Premier league pekee tunabomolewa na wapinzani
Ebana eeeeeBila kusahau mmetoshana nguvu na West Ham waliocheza Alhamisi.
Eh mbona mapema hvy mkuu πKwa Arsenal hii tupen kombe letu mapema tu
Usinambieeeeeeeeeeeeeeeeeee πTunamtaka Man City hata sshv maana Chelsea kashajifia
JESUS KASHINDIKANA
hahahah man city hatuna hiyana maana ndio team pekee iliyobakiaMm n shabiki wa City kwa msimu huu
Sawa Sisi wajinga wajinga hahahahaNiliwaambia msibishane na wajinga wajinga hawajui kitu
Angalieni huyu mlalahoiTunamtaka Man City hata sshv maana Chelsea kashajifia
JESUS KASHINDIKANA
ππWest ham tunafanya Comeback ya kibabe hii Game arsenyeto anakufa
Umeshajiona mjinga ni wewe.Niliwaambia msibishane na wajinga wajinga hawajui kitu
Sawa mkuu wanakuja tarehe 26Tunamtaka Man City hata sshv maana Chelsea kashajifia
JESUS KASHINDIKANA
Msimu ujao chelsea tunakuja kukaa nafasi yetuhahahah man city hatuna hiyana maana ndio team pekee iliyobakia
KARIBU SANA