Karibu man city jamani huzuni zote zitaishaBora mimi Chelsea najijua kabisa nna timu ya wacheza rede kuliko nyie AssAnal mnakaza mwanzoni afu mnakuja kuzngua dkk za mwisho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]Westham watakufa magoli sio chini ya manne wakiwa nyumbani kwao
Mm n shabiki wa City kwa msimu huuKaribu man city jamani huzuni zote zitaisha
poleh na wacheza rede wako
HahaaaaaaaaaaaaNjoeni tuwacheke Arsenal hapa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji375][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HATA MIMI NAONA MKUU WESTHAM WAMEKUFA ASEEE πππππWestham watakufa magoli sio chini ya manne wakiwa nyumbani kwao
Mmebanduliwa ππTutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG [emoji378][emoji95][emoji91]
LazimaaaaaaaaaaaaNasemaje, Man City anashinda mechi zote za EPL na UCL
Unasema!? πππππTutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG [emoji378][emoji95][emoji91]