Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta on percentage stats being in City's favour now:

"When you asked them at the start of the season, it was like this. So nothing has changed." [football london]
 
Je wajua? Sevilla ina mafanikio makubwa ulaya kuliko Arsenal

Elimika weekend
20230414_205125.jpg
 
Je wajua? Sevilla ina mafanikio makubwa ulaya kuliko Arsenal

Elimika weekendView attachment 2588253
Weka mataji yote hapa

Weka fan base

Weka mikataba

Kwanini hata ikiitishwa Super League mfano , Arsenal anaitwa hao kina Sevilla wanaachwa

Wachezaji Sevilla , astonvilla,Ajax ,Wana ndoto zakucheza Arsenal
 
Weka mataji yote hapa

Weka fan base

Weka mikataba

Kwanini hata ikiitishwa Super League mfano , Arsenal anaitwa hao kina Sevilla wanaachwa

Wachezaji Sevilla , astonvilla,Ajax ,Wana ndoto zakucheza Arsenal
Mimi nimesema ulaya sijasema lolote hayo mengine ya kwako ni jukumu lako kupambana nayo mwenyewe.

Labda kama nilichosema ni uongo nipinge.
 
For 10 minutes Newcastle hawajagusa mpira significantly mpaka wanafungwa hili goli.

Ila nyumbu ni wajinga hawawezi kuelewa
Hii kazi ya kumtoa Nyumbu top 4 tumkabidhi Astonvilla naona wapo seriously sana
 
Newcastle asipobadili game plan anaweza toka mikono nyuma.

Mid yao ina matobo. Trippier is pinned hafanya dangerous runs, Burn anajaribu kua bully kama alivyomfanyia Antony ila leo haisaidii
 
Kwa hiyo kw kua amefungwa na Aston vile na nyie mmewafunga Aston vila basi mtawafunga kirahisi eeh? Ass anal bhana
Huna akili. Aliyekuambia Villa kamfunga Newcastle nani?

Hiko ulichoquote nimeandika kabla goli halijaingia punda wewe
 
Huna akili. Aliyekuambia Villa kamfunga Newcastle nani?

Hiko ulichoquote nimeandika kabla goli halijaingia punda wewe
Hata kama goli halijakua halijaingia unafikiri wanavyocheza na Aston vila ni sawa watakavyocheza na nyie, au watakavyocheza games nyingine?
Nyie Mashabik w Ass anal kama mmerogwa, hamuamini kama msimu huu mnatoka kapa.
 
Sasa wewe binti hawa newcastle tushacheza nao wakapaki basi hua naona mnaitaja kama timu tunayotakiwa kuiogopa. Wewe binti judgment yangu haitokani na magoli ni inefficiencies zinazotokea hapa
 
Back
Top Bottom