Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Kipara akishawapita tu ndio basi tenaUsingizi hauji kabisa? Huamini kinachoenda kutokea. Nafasi ya pili ndiyo uwezo wa Arsenal.
Ngoja labda tuoneHuu ukweli wanaujua Ila wanajifariji kwa kusahau kwa misimu ya hivi karibuni city v liva au city ya mwishoni mwishoni mwa enzi za Sir Alex Fugy. Ngoja tuwaache wajifariji
Jipe moyo tu hujui maana ya derby labdaHata manyumbu UTD ni timu kubwa Sana.
Chelsea wamepoteana mno, na hawaeleweki wanaelekeza wapi.
Labda ars8 waamue tu kutokushinda.
Vyovyote iwavyo,Kete yangu ya ushindi nampa arse8Jipe moyo tu hujui maana ya derby labda
Mavi yenyewe unayo au ndio kuuhatarisha kinyeo ikoArsenal akichukua ubingwa nakunya mpk mbeya.
Waombe tu kipara apoteze mechi hata mbili la sivyo kombe ndio baibai.Kipara akishawapita tu ndio basi tena
Hawatoamini kama ambavyo sisi hatukuamini🤣🤣🤣🤣🤣
HahahahahahagThubutuuuuu
Walikua wanacheza huku akili zao inawaza zile goli 7 alizopigwa nyumbu, kila wakitaka kusogea mbele Gabriel Magalasa anapiga kelele wasimuache peke yake hataki lawama.
Kikubwa washukuru tu ostadhi Salah jana alisahau kula daku, laiti angekua ameshiba hizi kima zisingenusurika na kile kipigo dhalilifu alichokutana nacho nyumbu.
Hawa wahaini wanajitangazia ubingwa huku bado wana mechi 9 mkononi wakitegemea sub ya kina Kwiyo halafu mshindani wao Pep Guardiola.
Mcheki huyu kima mweupe anavyo ogelea utafikiri yupo kwenye swimming pool.
#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity Epl champion 2022/2023View attachment 2582649
Kwa kawaida sitakiwi kulala. Jana kulishonaUsingizi hauji kabisa? Huamini kinachoenda kutokea. Nafasi ya pili ndiyo uwezo wa Arsenal.
Mwenzio aliona mbali...Unaona draw hapo? Unadhani Chelsea hii
Mashabiki wa hii timu hawajawahi kuwa na akili.Wanakwambia liva wakitaka kucheza kwa kupishana watakula 6..cheki wanavyopumuliwa kisogoni.
Watuulize kilichotupata 😂Waombe tu kipara apoteze mechi hata mbili la sivyo kombe ndio baibai.
We mwehu unapata wapi nguvu za kucomment humu ikiwa unatatuliwa na vijana wadogo kila inayoitwa leo?????????????Mashabiki wa hii timu hawajawahi kuwa na akili.
Mwenye akili ni computerarsenal tu...
The rest viazi mbatata.
Upo sahihi kabisaKabla ya mechi ya united Rio Ferdinand alisema "Huu ndiyo wakati mzuri kwenda kumfunga liva nyumbani, tupo kwenye form na sasa hivi kiwango chao kimepungua"
Wakafa 7 kwa 0
Mshindani wetu wa karibu alifungwa hapo hapo, yeye alifungwa 1 kwa 0.
Kuna watu wanatutishia Chelsea na Brighton. Kwanza niwape pole Brighton kwa walichofanyiwa mpaka wameombwa msamaha. Arsenal yalitukuta pia. Lakini ambacho hawajui ni kwamba hata City naye ana Chelsea ana Brentford na ana Sisi pia ila huwezi ambiwa haya coz hata wao hawajui.
Anyway, chelsea ni mechi ngumu kweli lakini sababu pekee ni ngumu ni kwakua ni derby na derby hazitabiriki, tushamfunga chelsea akiwa na kikosi anachokiona bora tushamfunga akiwa anajiona yupo kwenye form na ana kocha wake bora so hii ugumu wake ni huo tukija on pitch Arsenal tuko vizuri kuwazidi.
Brighton ina attack nzuri. Recently defense yake imekuaje? No one sees this.
Timu ambazo City kabakisha nyingi hazipo on form so tunatarajia iwe a walk in a park kwake and with that hii inamaanisha tukomae no one will save us. Gape la points nane limepungua na kua 6 this means tunatakiwa kushinda mechi mbili zijazo as zitatupa morali wakati tunaenda kutana na city
Kiwior is not good enough so is Rob. Our best LB out of all people was nutmegged by Trent. I hope kocha anaona na atachukua hatua. We came too far to say we will settle for a second place.
Mashabiki wa hii timu hawajawahi kuwa na akili.
Mwenye akili ni computerarsenal tu...
The rest viazi mbatata.
Kipara msimu uliopita kabeba ubingwa kibabe sana. Suala la Arsenal ni dogo, atamuonyesha Arteta nani mwalimu na nani mwanafunzi.Kipara akishawapita tu ndio basi tena
Hawatoamini kama ambavyo sisi hatukuamini
Walitaka kupishana na Liverpool kimewaangukia kitu kizito. Wakajaribu kufanya hivyo Etihad na St. James' Park pia waone.Wazee wa pressing & overloading wamekuwa pressed & overloaded.
Ukiwakuta wanavyodanganyana humu utafikiri ni timu fulani isiyoshikika.
Poor arsenyani