Bora umemfunza huyo mjinga hamis77 Anaweza kuja hapa kusema asenane imecheza vizuri leo.Timu yetu ya Arsenal bado ana mechi ngumu narudia ngumu 3 vs Manchester City, Newcastle na Brighton hizi akipata positive results tunakuwa tumemaliza mchezo nakukumbusha hamis77 ya Anfield imeisha tayari uwe sometimes unapenda kutuskiliza watu kama sisi usiweke sana mahaba Goodnight guys tukutane next week
Ubingwa hamchukui. Hilo lipo wazi mkuu.Goli mbili mlizofunga zilisawazishwa ndani ya dakika 15. Mngepoteza muda saa ngapi
Hili ndio muhimu, Hizo hesabu wanazopiga kichwani ni kama biashara ya Tikiti.Kimsingi bado tunaongoza ligi kwa tofauti ya alama sita
Habari za mechi ya mkononi hazituhusu shinda kwanza mechi yako ndo uje tuongee View attachment 2582565
SawaUnajua hii sio logical kabisa, kwani city alipata alama ngapi Anfield?
Haaahaa jamaa zetu leo wamesakwa hadi wakawa wanapoteza muda.Liverpool wakiwa Anfield ni tofauti kabisa, msimu huu kafungwa na Leeds tu akiwa home.
Huo uwanja mara kibao tu United tumeongoza ila zikifika dk 10 za mwisho lazima uache points.
Hai waliwahi kucheza wapi mechi kubwa? Ni haki yao kuogopa mechi kubwa. Mnaokota vitoto huko mnaita wachezaji wakubwa..pambaf1. Zinny
2. Ødegaard
3. Ben White
Hawa huwa wana-underperform kwenye big matches
Mabao mawiliHawa liver walipaswa wapelekewe moto mwanzo mwisho Huwa wanatepeta sana kosa walilofanya Arsenal ni kupaki bas
Hivi unajua kua msimu huu city kadrop points kwa Forest na Brentford nyumbani kwake? Hivi nyie mnaangalia mpira Livescore?Arsenal are yet to face Chelsea & Brighton (home), and Man City & Newcastle (away), while Man City's biggest remaining fixtures are Arsenal & Chelsea (home).
Kocha wetu hakusema tutachukua. Kocha wenu alisema mfanye booking ya hotel, ulishafanya?Ubingwa hamchukui. Hilo lipo wazi mkuu.
Wimbo tutaoimba ni #London is Red na kombe letuSawa
Ngoja tusubiri kuona mnavyopindua meza
Sisi tupo pale
Mtaimba wimbo tulioimba msimu uliopita
Chelsea kwenye list ni kama nani? Observer auBado chelsea, Man city, newcastle ,brighton,wolves,westham, nottingham forest
Kazi mnayooo...na mkilikosa mwaka huu msubiri tena mpk mama samia atoke madarakani
Kama namuona KDB anavyokuangalia huku anasunya.Presha ya kupata ubingwa ndio inayoanza kutuletea shida zile feeling zinaanza kutuathiri mind set zawachezaji zimeanza kuathirika.
Kwa jinsi liver walivyoipania hii mechi kwetu naona ni a point gain.kama kweli tunautaka ubingwa tunatakiwa kupata points 3 kutoka kwa City lasivyo ubingwa ni majaaliwa
Wanasahau Man City hapo Anfield msimu kapigwa kidude, United kala wiki halafu kumbeni Liverpool mechi mbili za mwisho kaambulia point moja, leo tungeingia na mentality kama aliyo ingia nao United tungepigwa nyingi.We unazani Liverpool ni sawa na leeds tushukuru hata tumepata point moja..hii
Mechi ya leo ndo ilikuwa inaamua ubingwa wenuWimbo tutaoimba ni #London is Red na kombe letu
Well, we focus on the next game hatuna ahida na fixtureNenda kaangalie fixtures za April mkuu, zinafikirisha sana.