Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama mmeshindwa kutamba kwetu leo
Basi msitegemee mtawafunga city, Tena nyumbani kwao.


Mmewazawadia hili kombe Kwa uzembe wenu.
 
Ubingwa tunachukua, aya kajambe mbele
 
Naanza kukubaliana na wewe ukiuliza why tumeshindwa pata 3 points leo jibu ni PRESHA YA UOGA,unaongoza goals 2 na zinarudi ,Yes Anfield ni pagumu but kwa mchezo wa leo ukikumbuka una games Etihad na St James Park unaishia kuguna
Arteta ajifunze game management

Zinchenko alipaswa atoke mapema sana
 
Manyumbu
Wao hawakupark bus kwenye mechi ya Madrid na wakapoteza na sisi tumepark bus pale Anfield na tukatoka draw so in this case who's better than the other??
Ila hakupark bus na kuanza kupoteza muda kama Arsenal.
 
Kama mmeshindwa kutamba kwetu leo
Basi msitegemee mtawafunga city, Tena nyumbani kwao.


Mmewazawadia hili kombe Kwa uzembe wenu.
Hii game ya leo inaweza kua funzo kwa Arteta na wachezaji kua hatupo kwenye kipindi cha kumuogopa adui na kumsubiri aje

City tunaweza kumfunga
 
Hizo fixtures tunaweza kushinda kama tunasukuma mlevi, ila mentality ya timu inabidi ibadilike huwezi kua unaongoza goli mbili unakimbilia kupaki basi
Msingepaki bus
Mngefunga mabao mengine zaidi ya hayo

Mizembe nyanya mkaridhika.
Mkajiona mmemaliza.
 
Nafasi ya Ubingwa bado ipo hii EPL lolote linaweza kutokea.

Man City anaweza akapoteza kwa Timu usiyotarajia, bado ngoma mbichi kabisa.

Leo hatukuwa vizuri ila pia tulikua na nafasi ya kushinda kama Ile nafasi ya dakika za Mwisho.

Game On Mkuu, mpaka mechi ya mwisho.
 
Hii game ya leo inaweza kua funzo kwa Arteta na wachezaji kua hatupo kwenye kipindi cha kumuogopa adui na kumsubiri aje

City tunaweza kumfunga
Watu mnataka ushindi na mnakaa mnaridhika!

Mwenzenu Kipara hana utani mjue[emoji16]

Uzembe kama wenu ndo ulotucost mwaka jana tukashindwa kubeba hii ndoo.
 

Akikufunga Mancity Etihad bingwa ni Mancity
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…