Wote tumekuja na mchongo wa kumsubiri mtu ajichanganye kung'ang'ana na kumiliki mpira ila so far tusipobadilika jinsi tunavyokaba conservatively Liva akimiliki mpira anatufunga.
Silly mistakes za hapa na pale tunazifanya ambazo zinahitaji umakini ndiyo zinatusumbua. We have been brilliant in terms of attacking ila defensively hapana.
Kocha anatakiwa kubadili baadhi ya ishu. Hopefully Liva watakua tempted kukamia game baada ya hilo moja.
Liverfool hawana Cha kupoteza
2nd half tuwapige goal la mapema alafu tucheze mpira
Holding azidishe utulivu na awe makini na pass zake
Gabriel aongeze umakini zaidi zaidi zaidi
Vijana wangu Saka, martinel, jesus, odegard,
Bado sijaona kabisa
Msimu huu hakuna timu inayocheza na Arsenal halafu ikahigh press, umetaja viazi viwili ambavyo kimoja kilipasuka kilipojaribu kuhigh press na kingine kiliamua kupaki basi.