Arsenal 0 Newcastle 0
Mechi yangu Bora Hadi Sasa
Newcastle walikuja kwa mazoea ,waliingia na 4-3-3 ,Ndani ya dakika 10 wakaona shughuli Ni ngumu , Eddie Howe kwa Mara ya kwanza toka msimu uanze akabadili mfumo kwenda 5-4-1 .
Arsenal walikuwa wanakuja Kama nyuki muda wote , wakitumia 2-3-5
Newcastle walikaba vzr wings huku Martinell & saka wakizungukwa na Mabeki wawili had watatu kila wanapopata mpira
Newcastle wakaanza kupoteza muda na kuomba mpira uishe .
Hii ndio mechi nikaanza binafsi Kama mshabiki wa Arsenal kuiogopa Arsenal
View attachment 2575473