Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,520
- 2,251
wanachomoa moja hapa
Mchazaji anaweza kuwa mzuri, lakini sifa anazipewa na gharama baada ya usajili! anakuwa flop.Wachambuzi humu Arsenal JF walimpa sifa za kutosha kumbe boya tu tupunguze uchambuzi wa sifa nzuri kwa kila player anayehusishwa na Arsenal wengine mazoba tu
We mmarekani nusu, unaziona point atakazodondosha city ila za arsenyani huzioni?Kila mtu ashinde mechi zake
City bado atadrop not less than 5 points
Kudai kwamba mtapiga kirungu kila mtakayekutana naye ni uongoWe mmarekani nusu, unaziona point atakazodondosha city ila za arsenyani huzioni?
Kweli nyani haoni kundule.
Nikwambie tu kama unategemea hii city idondoshe point 5 anza kutafuta panadol mapema maana hakuna wa kuchukua hizo point 5, ni mwendo wa virungu mpaka mei.
Mtu unamuambia, Jorginho siyo mbaya kama mtamiliki mpira muda wote tatizo hana hiki, hiki na hiki mtu anakukasirikiaSasa hivi zile kelele za kumlinganisha Jorginho na Partey zimeisha.
Alivyotoka Partey unaona kabisa timu inakosa balance.
Nyie huyu Partey asiumie aisee, kama kweli tunataka ubingwa!
Niliwahi sema humu city na man utd watadondosha point 7 na mpaka sasa city tayari 2 (dhidi ya nottgham forrest) na man utd 3(liverpool). City zimebaki 5 naona draw 1 na akipoteza 1.We mmarekani nusu, unaziona point atakazodondosha city ila za arsenyani huzioni?
Kweli nyani haoni kundule.
Nikwambie tu kama unategemea hii city idondoshe point 5 anza kutafuta panadol mapema maana hakuna wa kuchukua hizo point 5, ni mwendo wa virungu mpaka mei.
FACT alitokea tu kama upepo unavyovuma na watu wakajaa kumpa sifa but ni kweli alikuwa ana kipaji kama tulivyokuwa tunampa hizo sifa?Sema huyu Jamaa Since day one, hakuwahi kua na iman na mudryk wala sio kisa hakusajiliwa na Arsenal, anasimamia kile alichokiona kabla hata Chelsea hawajaingilia kati kwenye hilo Deal.
We acha kuwa na wasiwasi mkuu,hapa tutapita kirahisi Sana Tena hutaamini.Moyo unaenda mbio nikiona game za April zinazokuja kuanzia next week, Manchester City ana experience sana na game hizi ,kipara hajawahi kuanguka kwa marathon za namna hii anaweza akaboronga mwanzoni ila kwa game hizi za marathonje tutatoboa?Mungu atusaidie
Kitu ambacho Liverpool watahitaji kufanya watakapocheza na Arsenal Ni wazuie tu kufungwa mabao zaidi ya manne maana kupigo Chao Kiko pale pale.Liverpool lazima ataamka na mmoja hapa ...
Either Chelsea au nyie viraka
Arsenal kumfunga Liverpool anfield ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ...
Upo sahihi kbsa mkuuTukimpiga Liverpool for me shughuli itakuwa imeishia hapo
Tutahitaji kwenda kutangazia ubingwa etihad
Kwa Mpira tuliocheza Emirates vs City Basi tunaenda kumuua pale pale kwake
Hapa tulilamba dume aisee! Jamaa anajua kunyumbulika uwanjaniMikel Arteta kuhusu Trossard:
Anaweza kucheza upande wa kulia, anaweza kucheza upande wa kushoto, anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji, kama 9, 9 wa uwongo.
Anachangia sana kwa timu na anachukua jukumu kubwa katika mchezo kufanya mambo yafanyike na tunapenda hilo." [
“Tulijua ubora wake na kile angeweza kuleta kwenye timu (tulipomnunua). Kwa kweli tumefurahishwa naye."View attachment 2573619
Hawa Manchester leo sioni wakitoboa kwa NewcastleWithout Partey and Jesus ,huku tukiwa na Nketiah aliyekuwa injury ,City almost alicheza counter attack whole game
Nachelea kusema Pale kwake kazi anayo
Saka alisema Tazama city wanakuja hapa wanapaki Basi utaelewa hatuogopi yeyote
Kwa wanaoangalia matokeo sio performance hawataelewa ndio wale tuliokuwa tunawaambia Manjesta na Spurs hawawez kugombea ubingwa wakawa wanakataa
Now Manjesta anapambania Kubaki top 4 au kucheza Europa na mwenzie Spurs
Huyu Potter hafai kunifundisha hata Singida United sijui Chelsea waliona Nini kwakeKuna mshkaji hadi juzi akanitag kwenye compilation ya Mudryk
Anyway, banter ni nyingi kuna moja inasema Jana kwa uingereza timu zote zilipata angalau goli moja isipokua The Idiot.
Chelsea didn't lose it was April's fools day.
Nagelsman 2nd in the league - sacked
Conte 4th in the league - sacked
Potter 11th on the league - trust the process
Tuchel with Bayern won 4 - 2 and said there is still room for improvements. Potter lost 2 - 0 and said the boys gave everything.
Ramadan goes from 10 to 11 and so did Chelsea
Hivi unadhani kabisa tutaenda etihad na kupata ushindi?Tukimpiga Liverpool for me shughuli itakuwa imeishia hapo
Tutahitaji kwenda kutangazia ubingwa etihad
Kwa Mpira tuliocheza Emirates vs City Basi tunaenda kumuua pale pale kwake
Tuna kikosi na team nzuri sana safari hii,mentality ishawaingia hadi vijana wadogo tulionao uwepo wa Jorginho,zinny,jesus na Arteta mwenyewe sina wasiwasi na game zilizobaki, uzur tuna game week after week tofauti na City katikat ya week wana game.Moyo unaenda mbio nikiona game za April zinazokuja kuanzia next week, Manchester City ana experience sana na game hizi ,kipara hajawahi kuanguka kwa marathon za namna hii anaweza akaboronga mwanzoni ila kwa game hizi za marathonje tutatoboa?Mungu atusaidie