Uliona mbali Sana, Kama vile upo kwenye kichwa Cha MikelI'm not sure ila nahisi we're not signing Youri Tielemans this window, japo unaweza kuwa sahihi.
Hoja ya Arteta kumuona Soares km backup RB ni political zaidi, vs Man city / Liverpool lazima umkatae. Hana technical consistency, km Tomiyasu akiumia binafsi namuona Saliba #4, White #2.
Kwa kweli lack of technical quality from Soares/ Tavarez/ Holding imetucost Uefa msimu ulioisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msimu ujao mashabiki wa Arsenal tuwe makini na vyakula tutakavyokaribishwa na mashabiki wa Man u!
Sema wewe jamaa unamkosea sana heshima TP,mchezaji peke anayeweza kumweka banch TP Busquets yule aliekuwa kwenye ubora wake.huyo rice ni mchezaji wa kawaida sana.sifa moja ya kiungo wa level ya dunia ni kuwa comfortable na mpira kabla ya kkuanza kufanya chochote,sasa rice is not that comfortable.Mfano TP ile mechi na man city angekuwepo tusengefumgwa.kitu watu hawajui ni kwamba hakuna mechi msimu huu tumepoteza partey akiwa ameanza mpaka kumalizaTP si mzuri kwa matumizi ya mpira kama alivyo Bosquets au Rodrigo japo TP ni bora kuliko Casemiro in this regard. Hivyo Zinny kuwa inverted Arsenal inachangiwa na mambo matatu, moja kusadia progression, huu ni udhaifu wa namba 6 wetu ku supply clean balls kwenye tight areas kitu ambacho Declan anafanya every damn time
Pili, tunamtumia GX kama LCM ambaye ni mzuri defensively, traditional CM, lakini si mchezaji wa ku dicate tempo ni Zinny anayekuwa tempo setter lakini na Xhaka kwa kuwa ni box to box so every damn time anaenda kila box kusaudia wachezaji wengine automatically inacontrol tempo,
Tatu Zinny & White wanakuwa inverted ku provide midfield compactness wakati wa defensive transition (235 in settled attacks) so hata TP ingawa ana pnp anahitaji watu kumsaidia ku cover eneo la pivot, akiwa peke yake anakuwa Vulnerable. Rice ni tempo setter na pia ni destroyer, he will sort out our midfield imbalances with ease. Mwanzo anakuwa upgrade role ya Xhaka huku TP akiendelea kama 6 ila baadae kama unampata mid aina ya Pedri au Xavi then Rice ni upgrade kwa TP cuz ni mzuri kutumia mpira kuliko Partey, so our midfield dynamic inakuwa ø, rice maybe Patino au mchezaji kama Pedri/ paqueta.
Im not saying that Rice is the best holding midfielder itw rn but he gonna be the best itw under Mikel Arteta.
Unaona huku mwisho uliposema 'Under Arteta' hichi sasa ndiyo ninachomaanisha mimi kwamba akifika anatakiwa awe adjusted kwanza. Hatotoa matokeo instant, ila Zubimendi akifika anaanzia alipoishiaTP si mzuri kwa matumizi ya mpira kama alivyo Bosquets au Rodrigo japo TP ni bora kuliko Casemiro in this regard. Hivyo Zinny kuwa inverted Arsenal inachangiwa na mambo matatu, moja kusadia progression, huu ni udhaifu wa namba 6 wetu ku supply clean balls kwenye tight areas kitu ambacho Declan anafanya every damn time
Pili, tunamtumia GX kama LCM ambaye ni mzuri defensively, traditional CM, lakini si mchezaji wa ku dicate tempo ni Zinny anayekuwa tempo setter lakini na Xhaka kwa kuwa ni box to box so every damn time anaenda kila box kusaudia wachezaji wengine automatically inacontrol tempo,
Tatu Zinny & White wanakuwa inverted ku provide midfield compactness wakati wa defensive transition (235 in settled attacks) so hata TP ingawa ana pnp anahitaji watu kumsaidia ku cover eneo la pivot, akiwa peke yake anakuwa Vulnerable. Rice ni tempo setter na pia ni destroyer, he will sort out our midfield imbalances with ease. Mwanzo anakuwa upgrade role ya Xhaka huku TP akiendelea kama 6 ila baadae kama unampata mid aina ya Pedri au Xavi then Rice ni upgrade kwa TP cuz ni mzuri kutumia mpira kuliko Partey, so our midfield dynamic inakuwa ø, rice maybe Patino au mchezaji kama Pedri/ paqueta.
Im not saying that Rice is the best holding midfielder itw rn but he gonna be the best itw under Mikel Arteta.
Jack willshere amesema anaamini Rice atabadilika under ArtetaUnaona huku mwisho uliposema 'Under Arteta' hichi sasa ndiyo ninachomaanisha mimi kwamba akifika anatakiwa awe adjusted kwanza. Hatotoa matokeo instant, ila Zubimendi akifika anaanzia alipoishia
Conte kafukuzwa siku ya birthday ya Arteta.Kuna wachambuzi Since wanafiki Sana ,mwaka Jana Conte walisema atagombea ubingwa msimu huu , dirisha kubwa kaongezewa Bissouma, Richalrson ,n.k January kaongezewa Porro kwa €50m, sababu ya mpira wake wa ovyo wale wale wachambuz wanasema Levy ameshindwa kumsapoti
Since 2020, #Arsenal have spent £391.5m; Spurs have spent £337.5m.
Spurs have also added Danjuma and Lenglet on loan, and Kulusevski and Porro on loans with obligations.
When they become permanent, they will have outspent us.
Levy backs managers; they just buy garbage.
Sasa Kuna wachambuzi Sababu ya maneno ya Conte ya kuji defence wanamuona kaonewa kufukuzwa ,huyu Conte kapewa Bissouma, Richalrson, Spence huyu kashindwa kumtumia kisa aliona Arsenal tumekuwa nae linked akaona atuvuvurugie ,kaishia kuua kipaji chake ,Richarlson ,Son, n.k wamekuwa butuConte kafukuzwa siku ya birthday ya Arteta.
Yaani ukikutana na timu inaongozwa na kocha mzoefu na nyingine inaongozwa na kocha ametoka kua msaidizi ukimhofia mzoefu hatutashangaa. Isipokua Arteta tayari alishaonyesha brilliance ilikua ni drama kum-write off kwa mtindo huo.
Same defence tuliyoambiwa haifundishiki Arteta alimaliza nayo msimu ikiwa tatu bora ya defense. FA dhidi ya Chelsea iliyoonekana imekamilika CS dhidi ya Liva ya moto kabisa.
On top of that second round ya msimu uliopita Arsenal tulikua tupo kwenye tempo nzuri mno na ndiyo hiyo tukaanza nayo msimu.