DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
DHAHIRI SHAHIRIArsenal bingwa wa UEFA champions league 22/23
DHAHIRI SHAHIRIArsenal bingwa wa UEFA champions league 22/23
Waliomtilia mashaka Arteta since day one huwa siwaelewi hoja zao Ni zipiCc. Mwalimu George Ambagile...! Jamaa ni miongoni mwa wachambuzi wachache sana Duniani achilia mbali Tanzania ambao kipindi Arsenal iko Hoi bin Taaban chin ya Arteta yeye alikuwa anasimama na Mikel
Alikuwa anasema kuna kitu anakiona ndani ya Arsenal kinasukwa na ni swala la Muda tu watu watakuja kukiona, na hatimae leo hii wengi waliokuwa wanamkataa Arteta wamemkubali
Muda mwingine shabiki haitaji sana kujua mpira au mbinu ili amkatae kocha, mashabiki kitu cha kwanza wanachotaka kuona Team yao inapata matokeo kisha inacheza vizuriWaliomtilia mashaka Arteta since day one huwa siwaelewi hoja zao Ni zipi
Binafsi mechi ya Kwanza tu nilijua huyu Sasa ndiye mrithi sahihi wa Arsene Wenger
Una matatizo ya akili nini?Rashford alifunga Goli 2 mwez uliopita wakamuweka na tuzo wakampa
Martinell ana Goli 4 mwezi huu Cha ajabu hata kwenye nominees hayupo
Mashabiki wengi wa Arsenal wameanza kupaza sauti usishangae asiwekwe hata kwenye Nominees ya YOUNG PLAYER OF THE YEAR na ana miaka 21, akawekwa Rashford anayetafuta mwaka wa 27
Tunasema haya ,msimu uliopita Saka kadhulumiwa tuzo nyingi tu
Mm nawalaumu maana kwa timu aliyoikuta asingeweza kutoboa kwa mbio ndefuMuda mwingine shabiki haitaji sana kujua mpira au mbinu ili amkatae kocha, mashabiki kitu cha kwanza wanachotaka kuona Team yao inapata matokeo kisha inacheza vizuri
Sasa kama Team imefukuza kocha kutokana na matokeo mabaya it means kocha Atakaekuja atakuwa na jukumu moja tu la kuitoa team sehemu mbaya alipoikuta na kuipeleka team sehemu ingine, kama hilo litashindikana basi tegemea tu mashabiki watamkataa kocha
Kuhusu wengine kumkubali kocha japokuwa team haifanyi vizuri, hapo sasa inategemea na mtu mwenyewe ana uelewa gani wa mpira na mbinu zake na sio lazima Shabiki ajue hayo ye anataka furaha tu
Me sikuwa miongoni mwa mashabiki waliokuwa wanamkataa Arteta ila siwashangai wala kuwalaumu waliokuwa wanamkataa maana Kwa kipindi kile alikuwa hafanyi kile ambacho kingefanya mashabiki wote wawe nyuma yake
Kaangalie January Walipompa Hiyo tuzo alifunga Goli ngapiWe jamaa unaona raha kuwa unadanganya kila wakati.?
Mwezi uliopita (Feb) Rashford kafunga Goals 5.
2 goals vs Leeds
1goal vs Crystal Palace
2 goals vs Leicester.
Halafu umeshapata idadi ya mechi ambazo Martinelli amecheza msimu huu.?
Former Tottenham striker Teddy Sheringham says he doesn’t “want to see” Declan Rice join Arsenal as he would “make them a better team”.
“But he would definitely make Arsenal a better team. I don’t like to say it but they’re already good enough this season and I don’t want to see Declan go there because he will make them a better team.
Living rent free in their brains 🙂
Odegaard shed some light on the rigorous work that Arteta undertakes. He told TV2:
“It has surprised me, actually, how detail-oriented he and the whole team are. I’ve never encountered anything like it, with people who see football that way and who see details as specifically as he does.
“It can be simple little things or more big things. It’s extremely detailed and a lot of little things we talk about, watching video after every game and all that. It’s fun working with him and the team. It works.”Kaangalie January Walipompa Hiyo tuzo alifunga Goli ngapi
Halafu niliweka Takwimu za EPL , wewe unalazimisha mashindano yote , kwani Mchezaji Bora wa mwezi EPL Ni mashindano yote?
Tunajua mmecheza Hadi na kina Chalton, Reading
Mfano Arsenal Carabao tulitoka hatua za awali kabisa
Sasa umekuja nilipopataka , Martinell Kwanza hajacheza mechi 41 Kama unavyodai ,kacheza mechi 38, EPL kacheza mech 28 ,hiz 10 nyingine nyingi hajaanza ,even hata World cup hakupewa nafasi Kama Unavyotaka kudai kacheza mechi 41Kwhiyo Mwezi uliopita ni January?
Ok twende hivyo hivyo, Rashford mwezi huo(Jan) alifunga 3 Goals kwenye EPL.
Vs Bournemouth
Vs Man City
Vs Arsenal.
Tofauti na wewe unavyodai alifunga goli 2.
Naona unahamisha magoli,
wewe ulisema Fans wa Man U wanamsifia sana Rashford wakati kamzidi Martinelli Goli 1.
Mimi nikakuambia Sifa anazopewa Rashford ni kutokana na performance yake kwenye mashindano yote( WC, EL, FA, CC) si EPL pekee
Kitu ambacho Martinelli hana msimu huu.
Ana 13 goals in 41 matches.
NB: Martinelli ni Mchezaji mzuri ila unakosea kumlinganisha na Rashford msimu huu.
Hata Eye test inaonyesha nani yuko vizuri this season.
Umesahau ninyi mmecheza na Oxford?
Brother, Ahsante sana kwa kunikumbuka. Nipo japo nimepotea kiasi.Hivi wakuu kuna huyu mdau Relief Mirzska yuko wapi sahivi? Au kabadili I'd
Nipo mkuu! Nipo brotherHis last post was 19/03/2022.
Sidhani kama alibadili ID kwa sababu tunafahamiana vizuri, hata mtu akibadili I’d inajulikana