Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mourinho is bigger than you.

Mourinho UEFA trophies

Uefa champions league 2 trophy

Uefa ueropa league 2 trophy

Uefa conference league 1

Arsenal trophies

Uefa champions league 0

Uefa ueropa 0

Hivi pamoja na ujanja ujanja wa Mourinho Kwanini kawazidi mafanikio club ya mpira mnakwama wapi nyie arsenyani?

Hafu mmekaa hapa mnataka kwenda uefa mkafanye nini kama ueropa tu kumewashinda au ndo mnataka mkatie aibu za kubugizwa goal 10 kule.

Timu yenu mkubali ni ndogo tu.

Poor Arsenal club

Poor Arsenal fans

View attachment 2562512
Msipojiangalia mtaanza kugombania nafasi za Europa
 
Naona nimepiga kisu Cha mbavu wote mnatoka mafichoni kuja kutapatapa hapa mni jibu kwanini mjawai kubeba hata ueropa kwanza.

Arsenal ingekuwa Man city in the passed 10yrs, sisi wengine tungekua
Tumetoroka Tanzania
 
dah hata kama ni Nyumbu ila ukweli unauma tunaupokea
 
Naona nimepiga kisu Cha mbavu wote mnatoka mafichoni kuja kutapatapa hapa mni jibu kwanini mjawai kubeba hata ueropa kwanza.

Arsenal ingekuwa Man city in the passed 10yrs, sisi wengine tungekua
Tumetoroka Tanzania
Kwahiyo kwa akili yako unaona Europa ni kombe kubwa!
 
Mourinho is bigger than you.

Mourinho UEFA trophies

Uefa champions league 2 trophy

Uefa ueropa league 2 trophy

Uefa conference league 1

Arsenal trophies

Uefa champions league 0

Uefa ueropa 0

Hivi pamoja na ujanja ujanja wa Mourinho Kwanini kawazidi mafanikio club ya mpira mnakwama wapi nyie arsenyani?

Hafu mmekaa hapa mnataka kwenda uefa mkafanye nini kama ueropa tu kumewashinda au ndo mnataka mkatie aibu za kubugizwa goal 10 kule.

Timu yenu mkubali ni ndogo tu.

Poor Arsenal club

Poor Arsenal fans

View attachment 2562512
Naona nimepiga kisu Cha mbavu wote mnatoka mafichoni kuja kutapatapa hapa mni jibu kwanini mjawai kubeba hata ueropa kwanza.

Arsenal ingekuwa Man city in the passed 10yrs, sisi wengine tungekua
Tumetoroka Tanzania
Tulia wew nyumbu hayo yanakuja mda wowote..

Tunamiliki kombe ambalo hakuna team itakayokuja kuchukua kamwe.

Wenger Anamiliki kombe ambalo hakuna kocha atakaekuja kuchukua kamwe.

Unatutisha na Uefa Ueropa..trophies HiZi zinakuja whatch us Next season
 
Mechi 10 zilizobaki za Arsenal zote ni ngumu na wao wanafahamu hivyo.

Ndo maana waziita hizo mechi ni fainali 10.

1. Leeds wapo kwenye relegation zone.

2. Liverpool wanagombea top 4

3. West Ham -relegation zone.

4. Southampton -relegation zone

5. Man City - Atetea ubingwa na ana mechi moja ya kiporo. Acheza nusu fainali ya FA Cup na nusu fainali ya CL.

6. Chelsea- Hawana cha kupoteza wakipigwa na Real Madrid no CL mwakani wala Europa League.

7. Newcastle- Wagombea top 4 kwa mara ya kwanza.

8. Brighton - Wataka kucheza Europa League

9. Nottingham Forrest - Relegation zone.

10. Wolverhampton - relegation zone.

Arsenal yahitaji points 26 tu kuchukua ubingwa katika mechi zake hizi 10.

Kilichobakia ni jitihada na mbinu madhubuti.
Badoo mjachoka tu na hesabu zenu Kiko wapi..

Ao wenyewe awataki kusikia habari za Arsenal
 
Arsenal fans hatumpi Martinelli heshima anayostahili , ona kelele za Manjesta kina Ally pipi Wanataka Rashford apewe Ballon dor ,Cha ajabu amemzidi Nelli goli 1 na Nelli atamaliza juu ya Huyo Rashidi,

Swore the way united fans talk about Rashford it’s like he was on 25 goals or sum and he’s only one above martinelli
IMG_20230323_162726.jpg
 
DAKTARI WA ARSENAL ATUA GHANA

Ikionesha msisitizo, Klabu ya Arsenal imemtuma Dakatari wao wa Utimamu wa Mwili, Dr. Simon Murphy, kwenda kuungana na Kikosi cha Timu ya Taifa ya Ghana kutizama kwa uangalifu hali ya Thomas Partey kila hatua.

Daktari huyo atafanya kazi kwa Ukaribu na madaktari wengine kungalia hali ya Thomas, na atakapo maliza majukunu yake atarudi klabuni...

Kazi ipo!
 
Attachments

  • FB_IMG_16795785456774572.jpg
    FB_IMG_16795785456774572.jpg
    141.6 KB · Views: 10
  • FB_IMG_16795785401178221.jpg
    FB_IMG_16795785401178221.jpg
    53.3 KB · Views: 10
Ikiwa record ya kushinda ukocha Bora wa mwezi katika EPL ndani ya msimu mmoja ikishikiliwa na Jürgen Klop akiwa kashinda mara 5

Super Mikel anaenda kujaribu Ku challenge record ya Klop kwani teyari anazo tuzo 3 katika msimu huu, na mwezi huu pasina Shaka anaenda kuchukua tuzo ya 4 ya kocha Bora mwezi wa 3

Sasa je, katika mwezi wa 4 na 5 ataweza kupata tuzo zingine ili afikishe 5 na hatimae kuwa sawa na Klop au kumpita kabisa?
20230323_162445.jpg
 
Wakati tuzo ya kocha Bora wa mwezi ikitegemewa kwenda katika viunga vya Emirates

Huku nako katika tuzo ya mchezaji bora wa mwezi inategemewa kwenda kwa Bukayo Saka Kwa mara ya Kwanza katika msimu huu

Akiwa kahusika na magoli 3 na assist 2 katika jumla ya mechi 4 alizocheza mwezi March, anatazamiwa kupata tuzo hii japokuwa atapata ushindani kutoka kwa Trossard,Isak pamoja na Salah

Pamoja na hayo ila kumekuwa na lawama kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Arsenal wakisema Martinel hajafanyiwa fair kwa kutokuchaguliwa katika kinyang'anyilo hicho, kwani katika mechi 4 bwana mdogo amefunga magoli 4
20230323_164316.jpg
 
Arsenal fans hatumpi Martinelli heshima anayostahili , ona kelele za Manjesta kina Ally pipi Wanataka Rashford apewe Ballon dor ,Cha ajabu amemzidi Nelli goli 1 na Nelli atamaliza juu ya Huyo Rashidi,

Swore the way united fans talk about Rashford it’s like he was on 25 goals or sum and he’s only one above martinelliView attachment 2562742
Rashford ana Goals 26 in 42 matches.

Martinelli ana Goals 13 in 41 matches.
 
Wakati tuzo ya kocha Bora wa mwezi ikitegemewa kwenda katika viunga vya Emirates

Huku nako katika tuzo ya mchezaji bora wa mwezi inategemewa kwenda kwa Bukayo Saka Kwa mara ya Kwanza katika msimu huu

Akiwa kahusika na magoli 3 na assist 2 katika jumla ya mechi 4 alizocheza mwezi March, anatazamiwa kupata tuzo hii japokuwa atapata ushindani kutoka kwa Trossard,Isak pamoja na Salah

Pamoja na hayo ila kumekuwa na lawama kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Arsenal wakisema Martinel hajafanyiwa fair kwa kutokuchaguliwa katika kinyang'anyilo hicho, kwani katika mechi 4 bwana mdogo amefunga magoli 4View attachment 2562762
Martinell hatendewi haki kabisa

Martinell anastahili kabisa msimu huu kuwa contender wa YOUNG PLAYER OF THE YEAR
 
Wakati tuzo ya kocha Bora wa mwezi ikitegemewa kwenda katika viunga vya Emirates

Huku nako katika tuzo ya mchezaji bora wa mwezi inategemewa kwenda kwa Bukayo Saka Kwa mara ya Kwanza katika msimu huu

Akiwa kahusika na magoli 3 na assist 2 katika jumla ya mechi 4 alizocheza mwezi March, anatazamiwa kupata tuzo hii japokuwa atapata ushindani kutoka kwa Trossard,Isak pamoja na Salah

Pamoja na hayo ila kumekuwa na lawama kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Arsenal wakisema Martinel hajafanyiwa fair kwa kutokuchaguliwa katika kinyang'anyilo hicho, kwani katika mechi 4 bwana mdogo amefunga magoli 4View attachment 2562762
Hizi tuzo kwa mwezi huu tunachukua double tena.

Arteta na Saka wote wanachukua.
 
LEANDRO TROSSARD: "SIKUTARAJIA KUPATA DAKIKA NYINGI ARSENAL"

Winga wa Arsenal na Timu ya taifa ya Ubelgiji, Leandro Trossard amefunguka juu ya Ujio wake Arsenal toka Brighton na majsha kiujumla katika Mahojiano Wiki hii.

Anasema " Nilitua kwenye Kundi bora. Kundi lenye wachezaji bora zaidi Hilo pia husaidia namna ya Kuzoea mazingira mapya na kuwa na kiwango Chao. (Kipindi cha Dirisha la Usajili) Kilikuwa Kipindi cha hekaheka nyingi na cha kustaabisha kwangu, lakini nina Furaha sana nimeweza Kujiunga na Arsenal... "
"Huenda Sikuwa na matarajio ya kupata dakika nyingi (za kucheza), lakini hali ya majeruhi (kwenye timu) imenisaidia kiasi... Sote tunajua ni ngumu kiasi gani kutwaa Ubingwa, hasa ukizitizama Liverpool na Manchester City kwa miaka ya karibuni".
 
Back
Top Bottom