Mkuu Saka ameshaisha, ni aibu hajadumu kwa muda mrefu kwenye kiwango. Wachezaji wa aina hiyo (left hand) chenga zao ni za upande mmoja wakishajuliwa na mabeki ndio basi tena.
Kim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutosha