Ni utimamu tu wa kutumia nafasi na kumaliza mchezo mapema!Mechi ya kesho ni ngumu Sana
Fulham wagumu halafu tupo away
Tunawakosa CF wetu wote watatu
Jesus
Nketiah
Trossard
Kwangu hii ni mechi ngumu kuliko hata ya Liverpool away
Nyie matakataka si munabebwa tu.. mupira dakk ya 97Yale yale tu ya Arsenal mmestruggle wakienda wao wanakufa kabisa
#KOCHA WA MPIRA#Mechi ya kesho ni ngumu Sana
Fulham wagumu halafu tupo away
Tunawakosa CF wetu wote watatu
Jesus
Nketiah
Trossard
Kwangu hii ni mechi ngumu kuliko hata ya Liverpool away


7hag#KOCHA WA MPIRA#
Vijana wa asenane wanaweza wakabisha, watataka kale kakatuni kanakoruka ruka kwenye touchline ndio kapeweView attachment 2546380
Arsenal’s Ukrainian superstar Oleksandr Zinchenko is one of the most technically gifted ballers on Earth.
️
Bila hao watatu tumekuwa ovyo kutumia nafasiNi utimamu tu wa kutumia nafasi na kumaliza mchezo mapema!
| Mikel Arteta:Mwalimu kalisema kwenye press tutegemee kuona mabadiliko ,japo Imani yangu inaniambia watakaporejea Trossard,Jesus na NketiahNi utimamu tu wa kutumia nafasi na kumaliza mchezo mapema!
| Mikel Arteta:Ollashoga tafuta watu wa levo yako ya matopeni mpigane vijembeNyie matakataka si munabebwa tu.. mupira dakk ya 97
Kazi ya mwalimu ni kutengeneza system ya ku create chances za kufungaHivi inakuaje wachezaji wetu huwa hawashoot mpira golini?
Game ya sporting na nyingine kabla unakuta Granit/Øde anapata nafasi ila hashoot anataka kutoa pasi shida ni nini au maelekezo ya mwalimu?
Ollashoga tafuta watu wa levo yako ya matopeni mpigane vijembe