Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game plan ya bornamouth ndio hiyo hiyo tunaitumia tukikutana na manjesta

Bado hamna timu ya kubishana toe to toe na Arsenal

Hiki kitu hamtaki kuelewa ndio maana mmepigwa 7-0
Watu tunashindana na Barcelona yenye World-class players uje ufananishe na Arsenal. 😂

Kuna levels kwenye football, nyie mnaweza kutufunga kwenye ligi lakini haimaniishi mpo vizuri kwenye big stage, Europe.
 
Europa hakuna ushindi wa janja janja. Tumekaaa pale kusubiri 2nd Leg.
 
Watu tunashindana na Barcelona yenye World-class players uje ufananishe na Arsenal.


Kuna levels kwenye football, nyie mnaweza kutufunga kwenye ligi lakini haimaniishi mpo vizuri kwenye big stage, Europe.
Sawa tunawangoja
 
Fabio Viera the DELIVERER, William SALIBA the FINISHER.


Assist ya 6 Kwa Fabio Viera msimu huu na inamfanya kuwa sawa na Martin Odegaard na Gabriel Jesus.Kinara ni Bukayo Saka na Assist 9 kwenye mashindano yote

Ukiiwekea Muktadha unaona ni msimu wa kwanza wenye mafanikio kwa Fabio Viera ikiwa ameanza kikosi Cha kwanza mechi 12 tu.

Leo akiwa amepewa Majukumu ya Martin Odegaard kikosini kama #8 ule upande wa kulia kwenye 4-3-3 ya Arteta. Kila pasi yake ilikuwa sumu.Kijana anaendelea kukua Kimwili,nguvu na akili.Mafanikio yake ndani ya Arsenal hayaepukiki

MIKEL ARTETA aliikabili vizuri sana 3-2-5 ya Sporting Lisbon kwenye kushambulia na 5-2-3 Bukayo Saka akishuka zaidi kwenye mstari wa Mwisho.Tatizo ilikuwa kupiga pasi ambazo hazina macho wakati team inatoka kuanzia nyuma.

JAKUB KIWIOR alipewa mechi yake ya kwanza tangu ametua kutoka Spezia.Haikuwa mechi nzuri sana lakini bado unaelewa kwa kijana.Baadae Aliingia Gabriel MAGALHAES na utulivu ukarejea.

Arsenal wanaonekana kuwa na Faida nyingi kimbinu na Kiufundi dhidi ya Sporting Lisbon Lakini Sporting Lisbon wamefanya mechi iwe ngumu na tamu.Kwanini?

Kwasababu kwanza ya Mabadiliko Makubwa ya kikosi ambayo Mikel Arteta ameyafanya kwenye kikosi Cha kwanza.Lakini pia Sporting Lisbon wana mafundi wa kuichukua na kuitawala mechi kutoka kwa Arsenal

Welcome to the Emirates SPORTING LISBON

FT
UEFA Europa league Sporting Lisbon 2-2 Arsenal
 
Watu tunashindana na Barcelona yenye World-class players uje ufananishe na Arsenal. 😂

Kuna levels kwenye football, nyie mnaweza kutufunga kwenye ligi lakini haimaniishi mpo vizuri kwenye big stage, Europe.
Na zile 7-0 vipi naona hujazungumzia hapo😂
 
Mimi binafsi nimeamua kuignore comments za manyumbu Kwa sasa tangu wapigwe zile 7. Yaani naona ni ukosaji heshima na utovu wa nidhamu Kwa aliyepigwa 7 na kuku kujadili chochote. Nitarejea kwao mwisho wa msimu
 
bdo hayuko fast kwnye decision making kama øde pia anatakiw kunyanyua sna weights.

nilichokiona jna kimeongezeka kwake ni workrate.
 
Kocha bora, Mchezaji bora na Goalkeeper bora, sisi hao halafu haturingi wala hatuongei sana.
February ilikua ni mwendo wa kusambaza upendo tu.
 
Maybe next season, msimu huu bado anatakiwa kuimprove
Nilichogundua Europa ni moja ya kombe gumu sana kwa squad tuliyonayo ukitoa 1st 11 utaona huwa tuna struggle sana kupata results kama jana na Arteta kazi anayo squad ya kucheza EPL ndiyo hyo hyo inatakiwa icheze Europa league hakuna namna kwa sasa itafahamika May but tukikosa any trophy
kati ya hizi mbili itauma sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…