Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gabriel Jesus did not travel to Portugal. Odegaard and Tierney are unwell

(@kayakaynak97 )
 
Mimi na mtizamo tofauti kwa ten hag kupigwa na liva sioni Kama problem Kuna kitu naona anakileta pale man u akitulia kwenye usajili akapata watu basi itakua shida still Kuna vitu atafanya tena vikubwa kwahio mashabiki wa man u wakae kwa kutulia Yale fukuza haita wasadia atlist amalize misim hata mi5
 
Unamaanisha akitulia kwenye usajili wakati united ilikua radhi kumletea kila aliyemtaka.
 
Unamaanisha akitulia kwenye usajili wakati united ilikua radhi kumletea kila aliyemtaka.
Atulie wapi Tena ,Mimi nashindwa kuwaelewa wanaosema akipata anaowataka , wajiulize alipopewa £211m alizitumiaje ,
 
Hawa jamaa ni wazuri ,walimdhalilisha Sana Spurs kule UCL

Leo wakishinda wajiandae Emirates
 
Ole power aliikataa hata kabla ya Ronaldo kuja.

Jinsi alivyokua anamtreat Pogba et al unaona kabisa hapa kocha hakuna.
Hakuna kocha asiyependa TOTAL CONTROL duniani

Ni mfumo wa timu ndio ulikuwa vile ,ni sawa na Sasa kwa Potter ,yeye analetewa tu wachezaji ni NDIO MZEE
 
Pasi walizotupigia golini kwao tukashindwa nyang'anya mpira kisha beki akaanza nyuma na kufika kati bila kubughudhiwa inafikirisha.

Jana PSG alijaribu hicho kitu na Bayern wakaupata mpira wakascore. Bayern akajaribu hicho kitu PSG wakaupata mpira isipokua De Ligt akaokoa.

Tuna safari bado
 
Back
Top Bottom