Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

William Saliba on Emile Smith Rowe:

"The Smith. The Smith is back. They are not ready for him." [Arsenal inside training]
IMG_20230303_221221.jpg
 
Umegundua nini

[emoji92] Most touches in the opposition box by a team in a single Premier League game this season:

[emoji837] Arsenal vs Bournemouth - 78
[emoji837] Arsenal vs Man Utd - 64
[emoji838] Man City vs Brentford - 62
[emoji837] Arsenal vs Nottingham Forest - 59
[emoji838] Man City vs Southampton - 56
Vijana waongeze ukatili golini
 
Hatimaye Wareno weusi tumetia nanga katika bandari ya Lisbon (Porto de Lisboa) tukiongozwa na nahodha wetu wa meli, Captain Bruno Miguel Borges Fernandes tukiwa tumefika hapa kuwapa hamasa Wareno wenzetu. Tutakuwa hapa mwanzo mpaka mwisho wa mchezo na mara baada tu ya mchezo kumalizika tutapaa mpaka jiji la Seville kule nako tuna jambo letu.

Quem ri por último ri melhor.

images.jpeg-7.jpg
 
Manchester United Ndoo Timu Iliyopigika Vipigo Vikubwa Ndani Ya Miaka 3 Iliyopita [emoji1541]

Manjesta 1-6 Tottenham
Manjesta 2-4 Liverpool
Leicester City 4-2 Manjesta
Manjesta 0-5 Liverpool
Watford 4-1 Manjesta
Man City 4-1 Manjesta
Liverpool 4-0 Manjesta
Brighton 4-0 Manjesta
Brentford 4-0 Manjesta
Man City 6-3 Manjesta
Liverpool 7-0 Manjesta

Takwimu Hazidanganyi [emoji23][emoji23]
Kuna jamaa humu alitamba kuwa 'United ni timu inayoongoza kukabia juu', hakujua takwimu zinaonesha ni timu inayoongoza kwa kupaki basi( deep defensive line) na kati ya mechi walizojaribu kucheza high def line zote ziliisha kwa aibu, Brentford 4-0, Man city 6-3, Liverpool 7-0.
 
Hatimaye Wareno weusi tumetia nanga katika bandari ya Lisbon (Porto de Lisboa) tukiongozwa na nahodha wetu wa meli, Captain Bruno Miguel Borges Fernandes tukiwa tumefika hapa kuwapa hamasa Wareno wenzetu. Tutakuwa hapa mwanzo mpaka mwisho wa mchezo na mara baada tu ya mchezo kumalizika tutapaa mpaka jiji la Seville kule nako tuna jambo letu.

Quem ri por último ri melhor.

View attachment 2542847
Tabia za kimalaya malaya afu wewe mtoto wa kiume utakuja ubanduliwe mkuu
 
Hivi mkuu uwezi kufanya ushabiki pasipo matusi?

Maana naona watu wengi sana mnashindwa tofautisha ushabiki na matusi hapo jamaa kaleta ushabiki na wewe ulitakiwa umjibu kishabiki.

Natamani sana wabongo tukajifunze kwenye magroup ya Kenya.
 
Hatimaye Wareno weusi tumetia nanga katika bandari ya Lisbon (Porto de Lisboa) tukiongozwa na nahodha wetu wa meli, Captain Bruno Miguel Borges Fernandes tukiwa tumefika hapa kuwapa hamasa Wareno wenzetu. Tutakuwa hapa mwanzo mpaka mwisho wa mchezo na mara baada tu ya mchezo kumalizika tutapaa mpaka jiji la Seville kule nako tuna jambo letu.

Quem ri por último ri melhor.

View attachment 2542847
Lisbon na Porto natamani sana kufika. Nitajichanga niende na familia. One day yes.

Mimi nitaenda kutalii ila Gunners wakienda huko kazi yao ni moja tu - kuchukua ushindi.
 
Arteta amesema hana mpango wa kwenda Madrid

Mikel Arteta on Real Madrid links: "I’m fully focused on what I’m doing here at Arsenal" [emoji836]️[emoji837] #AFC

"I’m extremely happy, proud and grateful to be at this football club".
#afc [emoji1377]
 
Kuna jamaa humu alitamba kuwa 'United ni timu inayoongoza kukabia juu', hakujua takwimu zinaonesha ni timu inayoongoza kwa kupaki basi( deep defensive line) na kati ya mechi walizojaribu kucheza high def line zote ziliisha kwa aibu, Brentford 4-0, Man city 6-3, Liverpool 7-0.
Mashabiki wengi hasa wa manjesta hawajui mpira na hawajui kuuchambua ,timu yao ilikuwa form lakin Ina magepu kibao ,

7 hag atafata njia za kina ole watamtimua ,kocha unampima hata kwenye usajili, Ni mbahatishaji, ndio maana ilibidi akimbilie hasa pale pale Ajax kusajili ,Cha ajabu bado akapotea kwa kumsajili Anthony mchezaji ambaye alikuwa naye hapo hapo ajax, kamsajili yule beki ambaye kashindwa kuingia kikos Cha Kwanza ,sajili bora ni Moja tu Martinez ,sajili za Casemiro na eriksen ni za muda mfupi tu,

Kwa pesa ile aliyopewa namuona akufata njia za kina ole guna
 
Nyie arteta mmekaa nae misimu mingapi hapo hata uefa ajawai wapeleka akufukuzwa ila sisi hata kocha msimu ujaisha anataka afukuzwe waenga wanasema wivu umtesa anae uifadhi.

Punguzeni wivu sisi mashabiki wa man u tunamtaka Kwanini utusemee sasa.

Sisi ndo tutasema kama hatumtaki au Vipi kwa Sasa tunamtaka sana tu.
 
Hafu jamaa hamis pale England pana timu 4 kubwa.

Man city
Liverpool
Chelsea
Man United

Mbona hizo zingine uzizungumzii?
Nimekuja kujua bila kuizungumzia United mnakosa content kabisa yani fatilia post zako uwezi maliza siku ujaitaja United

Chelsea ni mbovu lakini ujawai izungumzia

Umekomaa na Manchester United tu kuwa makini nyuzi zako zikianza kufufuliwa hapa usije kuaibika.
 
Unapozungumzia Team kubwa una maana gani na unazitaja kubwa kwa misingi ipi mkuu!??
 
Hafu jamaa hamis pale England pana timu 4 kubwa.

Man city
Liverpool
Chelsea
Man United

Mbona hizo zingine uzizungumzii?
Nimekuja kujua bila kuizungumzia United mnakosa content kabisa yani fatilia post zako uwezi maliza siku ujaitaja United

Chelsea ni mbovu lakini ujawai izungumzia

Umekomaa na Manchester United tu kuwa makini nyuzi zako zikianza kufufuliwa hapa usije kuaibika.
Manchester city na Chelsea are manufactured clubs bila funds za mabilionea tusingekuwa tunawaongelea leo na sijui wangekuwa wapi. Huwa nashangaa Shabiki wa United, Liverpool na Arsenal kubishana na shabiki wa Chelsea au Mancity, bila pesa hao wanarudi kuwa timu za kawaida regaldless of their 20 years archievements.
 
Mashabiki wengi hasa wa manjesta hawajui mpira na hawajui kuuchambua ,timu yao ilikuwa form lakin Ina magepu kibao ,

7 hag atafata njia za kina ole watamtimua ,kocha unampima hata kwenye usajili, Ni mbahatishaji, ndio maana ilibidi akimbilie hasa pale pale Ajax kusajili ,Cha ajabu bado akapotea kwa kumsajili Anthony mchezaji ambaye alikuwa naye hapo hapo ajax, kamsajili yule beki ambaye kashindwa kuingia kikos Cha Kwanza ,sajili bora ni Moja tu Martinez ,sajili za Casemiro na eriksen ni za muda mfupi tu,

Kwa pesa ile aliyopewa namuona akufata njia za kina ole guna
Mna moyo sana kukaa kwenye keyboard na kuwaelimisha 😂 😂 😂
 
Nyie arteta mmekaa nae misimu mingapi hapo hata uefa ajawai wapeleka akufukuzwa ila sisi hata kocha msimu ujaisha anataka afukuzwe waenga wanasema wivu umtesa anae uifadhi.

Punguzeni wivu sisi mashabiki wa man u tunamtaka Kwanini utusemee sasa.

Sisi ndo tutasema kama hatumtaki au Vipi kwa Sasa tunamtaka sana tu.
Mimi nina expectations kubwa na Ten Hag he will get you somewhere. Tumpe muda
 
Manchester city na Chelsea are manufactured clubs bila funds za mabilionea tusingekuwa tunawaongelea leo na sijui wangekuwa wapi. Huwa nashangaa Shabiki wa United, Liverpool na Arsenal kubishana na shabiki wa Chelsea au Mancity, bila pesa hao wanarudi kuwa timu za kawaida regaldless of their 20 years archievements.
Hata hizi arsenal man united Liverpool pasipo pesa ni za Kawaida sana.

Kwa sasa unaposema timu kubwa England ni.

Manchester United/City

Chelsea

Liverpool

Arsenal

kuanzia 2000kushuka chini ningekujibu timu kubwa pale England ni hizi.

Liverpool
Man united
Arsenal
Newcastle
Blackburn

Hizo ndo timu zenye zilikuwa zikifahamika ni timu kubwa kwasasa kusema man city na chelsea sio timu kubwa nadhani ungetuambia labda maana ya timu kubwa kwa ufahamu wako ni zipi.
 
Nyie arteta mmekaa nae misimu mingapi hapo hata uefa ajawai wapeleka akufukuzwa ila sisi hata kocha msimu ujaisha anataka afukuzwe waenga wanasema wivu umtesa anae uifadhi.

Punguzeni wivu sisi mashabiki wa man u tunamtaka Kwanini utusemee sasa.

Sisi ndo tutasema kama hatumtaki au Vipi kwa Sasa tunamtaka sana tu.
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli, kwa timu aliyoikuta na pesa alizopewa akazitapanya vibaya ,atafata njia za waliomtangulia ,form huwa inaficha mengi Sana,ila Mimi kwa uzoefu wangu na makocha waiopita epl na hapo man u ,ten hagg mtamtimua mapema Sana ,

Tulitegemea kwa timu aliyoikuta na pesa alizopewa ambazo klopp hata Arteta hawajawahi kupewa kwenye maisha yao ya ukocha ,Basi Angesajili talent ,Cha ajabu tunaona sajili za kubahatisha na mpira wa ujanja ujanja

Kuna imani mnajipa mnasema baada ya muda timu itakuwa hatari ,kiukweli mnajidanganya Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom