hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Kwa uzoefu wangu mm Ten hagg hajafikia bado expectation alizoonesha ole , with medium bajeti alifika nafasi ya 2, ya 3, alifika level ambayo alihitaji kuaminiwa na kupewa msaada Cha ajabu wakamuingilia kumleta Ronaldo ambaye hakumtaka wakamvurugia mipangoMimi nina expectations kubwa na Ten Hag he will get you somewhere. Tumpe muda