Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji599]Arsenal are favourites to sign inform star Victor Osimhen

[emoji2788] “Rai Sport journalist Ciro Venerato has now suggested Arsenal are the most likely Premier League side to sign Victor Osimhen from Napoli.”

[emoji2788] “In order to sign him, they will have to meet Napoli’s €150million (£133m asking price). The 24-year-old is due to be under contract at Stadio Diego Armando Maradona until 2025”
Nyie hamna hela ya kumchukua huyo mchezaji usijidanganye.huyo anaenda Chelsea au Manchester United.
 
Hatuna pesa ,wewe ndiwe unakaa na akaunt za Arsenal?

Mbona hujiulizi kwanini January Arsenal walikuwa tayari kutoa £70m+ kwa Caicedo na €100m kwa Mudrky

Bila hizo deals kufeli Arsenal walikuwa willing kutumia hizo pesa

Timu yetu tunaijua sisi ilipo na inapokwenda ,

Edu alisema kwasasa tunaenda level ambayo kwa msimu tutakuwa tunasajili mchezaji mmoja au wawili

Tumeshatoka kwenye stage ya kujenga timu tunaenda stage ya kuimarisha timu
 
Epl kwenye hizi timu kubwa kila mbabe ana kibonde wake, Man Utd kibonde wake ni Arsenyani.
Haya na nyie Arsenyau tuonesheni basi kibonde wenu nani?
Mnacheka goli 7 wakati nyinyi mshasokomezwa hadi goli 10 huko Uefa na ndio imekua kama laana mpaka hii leo miaka 6 imepita bila kufanikiwa kushiriki michuano hio. View attachment 2541433View attachment 2541435
Hii haiwez kupunguza mauimivu ya kupigwa 7-0
 
Epl kwenye hizi timu kubwa kila mbabe ana kibonde wake, Man Utd kibonde wake ni Arsenyani.
Haya na nyie Arsenyau tuonesheni basi kibonde wenu nani?
Mnacheka goli 7 wakati nyinyi mshasokomezwa hadi goli 10 huko Uefa na ndio imekua kama laana mpaka hii leo miaka 6 imepita bila kufanikiwa kushiriki michuano hio. View attachment 2541433View attachment 2541435
Manchester United Ndoo Timu Iliyopigika Vipigo Vikubwa Ndani Ya Miaka 3 Iliyopita [emoji1541]

Manjesta 1-6 Tottenham
Manjesta 2-4 Liverpool
Leicester City 4-2 Manjesta
Manjesta 0-5 Liverpool
Watford 4-1 Manjesta
Man City 4-1 Manjesta
Liverpool 4-0 Manjesta
Brighton 4-0 Manjesta
Brentford 4-0 Manjesta
Man City 6-3 Manjesta
Liverpool 7-0 Manjesta

Takwimu Hazidanganyi [emoji23][emoji23]
 
Hatuna pesa ,wewe ndiwe unakaa na akaunt za Arsenal?

Mbona hujiulizi kwanini January Arsenal walikuwa tayari kutoa £70m+ kwa Caicedo na €100m kwa Mudrky

Bila hizo deals kufeli Arsenal walikuwa willing kutumia hizo pesa

Timu yetu tunaijua sisi ilipo na inapokwenda ,

Edu alisema kwasasa tunaenda level ambayo kwa msimu tutakuwa tunasajili mchezaji mmoja au wawili

Tumeshatoka kwenye stage ya kukenga timu tunaenda stage ya kuimarisha timu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio suala la kua tayari, hapo kinachozungumzwa ni suala la kutoa pesa.
Arsenyo miaka yote ipo tayari kutoa hata £200m za mdomoni lakini haina uwezo wa kununua mchezaji wa zaidi ya £80m.
Ukiona mchezaji yoyote mkubwa akihusishwa na Arsenyau mwezi mmoja au miwili kabla ya dirisha la usajili jua tu hio ni janjajanja inayotumiwa na wakala wa mchezaji ili kuongeza thamani ya bidhaa yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio suala la kua tayari, hapo kinachozungumzwa ni suala la kutoa pesa.
Arsenyo miaka yote ipo tayari kutoa hata £200m za mdomoni lakini haina uwezo wa kununua mchezaji wa zaidi ya £80m.
Ukiona mchezaji yoyote mkubwa akihusishwa na Arsenyau mwezi mmoja au miwili kabla ya dirisha usajili jua tu hio ni janjajanja inayotumiwa na wakala wa mchezaji ili kuongeza thamani ya bidhaa yake.
Mtamchukua nyie Basi tumalize hivo

Japo alisema hawezi kwenda unyumbuni
Screenshot_20230307-222902~2.jpg
 
Yaya Toure on Partey - Yeah he’s brilliant, it’s really nice to see.

“I think now every weekend when Arsenal have to play, I have to be honest, I would go just to watch him.

“He’s just unbelievable.”

(@talkSPORT )
 
Mtamchukua nyie Basi tumalize hivo

Japo alisema hawezi kwenda unyumbuni View attachment 2541470
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama huyo Osimhen haji unyumbuni ila hapa tunazungumzia timu yenu chini ya Kroenke's haina jeuri ya kusajili mchezaji yoyote mwenye thamani zaidi ya £80m.
Nyie uwezo wenu ni kusajili kina Mwakinyo, kina Kwiyo na dizaini ya wachezaji wa hivyo.
Ukimuona mchezaji yoyote mzuri Arsenyo basi eidha ametokea Academy au wamepewa kwa hisani kama walivyopewa Jesus, Zinchenko au ni mchezaji alietimuliwa na kocha katikati ya msimu kutokana na utovu wa nidhamu.
 
Epl kwenye hizi timu kubwa kila mbabe ana kibonde wake, Man Utd kibonde wake ni Arsenyani.
Haya na nyie Arsenyau tuonesheni basi kibonde wenu nani?
Mnacheka goli 7 wakati nyinyi mshasokomezwa hadi goli 10 huko Uefa na ndio imekua kama laana mpaka hii leo miaka 6 imepita bila kufanikiwa kushiriki michuano hio. View attachment 2541433View attachment 2541435
Mpya mpya hii hapa.. ya moto moto, imetoka juzi tu hapo jumapili😂😂😂
IMG_20230305_224349_952.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama huyo Osimhen haji unyumbuni ila hapa tunazungumzia timu yenu chini Kroenke's haina jeuri ya kusajili mchezaji yoyote mwenye thamani ya zaidi ya £80m.
Nyie uwezo wenu ni kusajili kina Mwakinyo, kina Kwiyo na dizaini ya wachezaji wa hivyo.
Ukimuona mchezaji yoyote mzuri Arsenyo basi eidha ametokea Academy au wamepewa kwa hisani kama walivyopewa Jesus, Zinchenko au ni mchezaji alietimuliwa na kocha katikati ya msimu kutokana na utovu wa nidhamu.
Mchawi sana we jamaa, hangover ya goli saba inakusumbua wewe
 
Epl kwenye hizi timu kubwa kila mbabe ana kibonde wake, Man Utd kibonde wake ni Arsenyani.
Haya na nyie Arsenyau tuonesheni basi kibonde wenu nani?
Mnacheka goli 7 wakati nyinyi mshasokomezwa hadi goli 10 huko Uefa na ndio imekua kama laana mpaka hii leo miaka 6 imepita bila kufanikiwa kushiriki michuano hio. View attachment 2541433View attachment 2541435
Weka rekodi kamili. Kuna mechi moja ya Carling Cup tulikupga 6-1. Kina Kanu waliongoza maangamizi
 
Yaya Toure [emoji2788]
Akihojiwa Na @talkSPORT

“Kwa Sasa Napenda Kutazama Mechi Za Arsenal Jinsi Wanavyocheza Wanavutia Kuwatazama Kila Weekend.Napenda Kumuangalia Thomas Partey Anavocheza "
IMG_20230308_124532.jpg
 
Arteta mnamo 2019:

"Nataka kushambulia. Nataka kumtawala mpinzani. Nataka mpinzani acheze katika nusu yake na lazima niweze kuwaambia wachezaji kitakachotokea kabla hakijatokea."
IMG_20230307_144956.jpg
 
Mikel Arteta will decide on Wednesday (today) whether Gabriel Jessus can return from injury to play a role in the Sporting Lisbon game on Thursday. ESR could start. Both Nketiah and Trossard unlikely to feature

[Tom Allnutt The Times]
 
Hapo kwenye line up tuna double 8/10 Odegaard na Fabio Vieira

Benchi la ufundi linataka kumu introduce Smith Rowe hapo anapocheza Fabio Vieira

Left no.8/10 kwasasa tuna Xhaka na Fabio Vieira

Fabio Vieira pia anaweza kucheza Right no.8/10 anapocheza Odegaard

Je unaionaje Arsenal yenye double 8/10 yenye Odegaard na Smith Rowe?

Spidi

Ufundi

Unyumbulifu

IMG_20230304_104404.jpg
 
we jamaa unaroho ngumu sana, yakishirikina kabisa! haiwezekani mdundwe na bado unadunda,wewe ni nunda!
Tatizo watu mnasaau mpira ni burudani mnaona ni vita Kwamba mtu hakiwa timu nyingine ni adui yako ndo maana mimi napenda sana magroup ya michezo ya Kenya kuliko bongo,bongo watu utukana tu sio kutaniana.

Ukielewa ushabiki ni utani tu utasumbuliwa na chuki wala roho mbaya.
 
Mikel Arteta will decide on Wednesday (today) whether Gabriel Jessus can return from injury to play a role in the Sporting Lisbon game on Thursday. ESR could start. Both Nketiah and Trossard unlikely to feature

[Tom Allnutt The Times]
Namuona Smith Rowe akianza LW , Martinell CF ,Saka RW

Kwenye double 8 Xhaka na Odegaard

DM Gorginho Frelo

Jakub Kiwior atapewa nafasi
 
Hatuna pesa ,wewe ndiwe unakaa na akaunt za Arsenal?

Mbona hujiulizi kwanini January Arsenal walikuwa tayari kutoa £70m+ kwa Caicedo na €100m kwa Mudrky

Bila hizo deals kufeli Arsenal walikuwa willing kutumia hizo pesa

Timu yetu tunaijua sisi ilipo na inapokwenda ,

Edu alisema kwasasa tunaenda level ambayo kwa msimu tutakuwa tunasajili mchezaji mmoja au wawili

Tumeshatoka kwenye stage ya kujenga timu tunaenda stage ya kuimarisha timu
Kwanini useme walikuwa tayari mkuu? sio walitoa zikakataliwa uoni pana tatizo hapo?
 
Arteta mnamo 2019:

"Nataka kushambulia. Nataka kumtawala mpinzani. Nataka mpinzani acheze katika nusu yake na lazima niweze kuwaambia wachezaji kitakachotokea kabla hakijatokea."View attachment 2541692
Arsenal uo mpira ungekuwa unawafaa toka enzi za Wenger mngekuwa hata na Uefa hata moja tatizo mnacheza mpira ambao mnaishi kwenda ueropa.

Hivi mmewai jiuliza kwanini timu yenu aina uefa hata moja miaka yote iyo na mmeishia kufika fainali moja tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom