Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo watu mnasaau mpira ni burudani mnaona ni vita Kwamba mtu hakiwa timu nyingine ni adui yako ndo maana mimi napenda sana magroup ya michezo ya Kenya kuliko bongo,bongo watu utukana tu sio kutukana.

Ukielewa ushabiki ni utani tu utasumbuliwa na chuki wala roho mbaya.
We unadhani Niko serious🤣🤣🤣🤣
 
Arsenal uo mpira ungekuwa unawafaa toka enzi za Wenger mngekuwa hata na Uefa hata moja tatizo mnacheza mpira ambao mnaishi kwenda ueropa.

Hivi mmewai jiuliza kwanini timu yenu aina uefa hata moja miaka yote iyo na mmeishia kufika fainali moja tu?
Tupo Arteta Era mzee baba

Mbona hujiulizi pamoja na kumwaga mapesa yote toka aondoke fergi

Manyua mmezidi kuwa na character za timu ndogo
 
Kwanini useme walikuwa tayari mkuu? sio walitoa zikakataliwa uoni pana tatizo hapo?

Nasema tulikuwa tayari maana ofa zilitumwa sio kwamba ni maneno , shida mnaishi kwa mazoea

Tatizo lilikuwa wapi ,ukielewa tatizo Basi utelewa ambition za Arsenal ni zipi

Kwa Caicedo Arsenal ilikuwa tayari kufika hata £80m , tuliishia £70m coz walisema HAUZWI

Kwa Murdky Kuna issue had za siasa humo, ndio maana mchezaji hata huko aliko Hana furaha

Uzuri Arsenal tukimkosa mchezaji tuna option ,hatuna sera ya kubembeleza mchezaji
 
[emoji102] Man City Premier League points tally after 26 games in last 5 seasons…

22/23 - 58
21/22 - 63
20/21 - 62
19/20 - 54
18/19 - 62

[emoji123] Arsenal currently sit on 63 points after 26 games - the idea that Arsenal are top because Man City are underperforming is a false narrative
 
Nasema tulikuwa tayari maana ofa zilitumwa sio kwamba ni maneno , shida mnaishi kwa mazoea

Tatizo lilikuwa wapi ,ukielewa tatizo Basi utelewa ambition za Arsenal ni zipi

Kwa Caicedo Arsenal ilikuwa tayari kufika hata £80m , tuliishia £70m coz walisema HAUZWI

Kwa Murdky Kuna issue had za siasa humo, ndio maana mchezaji hata huko aliko Hana furaha

Uzuri Arsenal tukimkosa mchezaji tuna option ,hatuna sera ya kubembeleza mchezaji
Naiyo ndo sababu Mpaka leo mmeshindwa kubeba Uefa na ligi kwa miaka 19 chaguo la kwanza ni la kwanza tu.

Ni maumivu kujificha kwenye chaguo la pili wakati la kwanza lilikuwepo.
 
Mnyama yupo mazoezini
IMG-20230308-WA0018.jpg
 
Arsenal uo mpira ungekuwa unawafaa toka enzi za Wenger mngekuwa hata na Uefa hata moja tatizo mnacheza mpira ambao mnaishi kwenda ueropa.

Hivi mmewai jiuliza kwanini timu yenu aina uefa hata moja miaka yote iyo na mmeishia kufika fainali moja tu?
We umejiuliza kwann timu lako halina golden trophy??
 
[emoji2956] Gabriel Jesus BACK in full Arsenal training ahead of the trip to Lisbon

[emoji352]Arteta set to decide whether or not to include him in the matchday squad tomorrow

[emoji123] God it’s good to have him back, time to build back that match fitness and take us to the title!
IMG_20230308_182031.jpg
 
Arsenal would prefer to sign Martin #Zubimendi over Moises Caicedo in the upcoming summer window alongside midfielder Declan Rice.

#AFC tried to sign the Sociedad player in January before #Caicedo but he wanted to keep loyal to the Spanish club until the end of the season. [emoji837]
IMG_20230308_182849.jpg
 
Eddie nketiah na Trossard wataendelea kukosekana sababu ya injury

Lakini habari njema Jesus amerejea

We have luxury squad

Smith Rowe,Nelson
IMG_20230307_174920.jpg
 
Behind the scenes of Gabriel Jesus' return to full Arsenal training | @Football_LDN [emoji1054]

[emoji837] All smiles at London Colney
[emoji837] Sprinting, twisting, turning, tackling
[emoji837] Sent flying to the floor as Arsenal players confident not to take it easy on the Brazilian
IMG_20230308_183554.jpg
IMG_20230308_192102.jpg
 
Umegundua nini

[emoji92] Most touches in the opposition box by a team in a single Premier League game this season:

[emoji837] Arsenal vs Bournemouth - 78
[emoji837] Arsenal vs Man Utd - 64
[emoji838] Man City vs Brentford - 62
[emoji837] Arsenal vs Nottingham Forest - 59
[emoji838] Man City vs Southampton - 56
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom