Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta

"Ikiwa nitalazimika kumshawishi mchezaji kubaki au kujiunga na Arsenal, inanirudisha nyuma kidogo. Sio hatua nzuri ya kuanzia kwangu.."

Nitahakikisha nasajili wachezaji wa Arsenal ambao pia ni mashabiki wa Arsenal

Je unajua Zinny ni Arsenal fan Lia Lia?

 
Na nikuongezee dogo Nielson anaweza kucheza wing zote vizur kabsaa

Kuna game msimu huu aliingia sub akaenda kutupia goli 2 kama sijasahau

Aliuwasha sana na kama sijasahau tena alitoka SAKA.
 
Na nikuongezee dogo Nielson anaweza kucheza wing zote vizur kabsaa

Kuna game msimu huu aliingia sub akaenda kutupia goli 2 kama sijasahau

Aliuwasha sana na kama sijasahau tena alitoka SAKA.
Nelson ni INTAKE ya awali na kina Smith Rowe kabla Ya INTAKE ya kina saka

Nelson ,Smith Rowe walipelekwa Mikopo na ndio kipind Wenger anaondoka ,hivo hawakupata kocha sahihi wa kuwaendeleza vipaji vyao

Kama mnakumbuka Nelson alipoenda hata German Kama sikosei aliuwasha Sana

Smith Rowe alifanya vzr Leipzig


Alipokuja Emery hakuwa kocha sahihi wakuwakuza

Hata Saka mpaka Leo angebaki kuwa beki

Chini ya Super Mikel atafanya vzr ,Kama Smith Rowe
 
Na nikuongezee dogo Nielson anaweza kucheza wing zote vizur kabsaa

Kuna game msimu huu aliingia sub akaenda kutupia goli 2 kama sijasahau

Aliuwasha sana na kama sijasahau tena alitoka SAKA.
Dhidi ya Notingham forest alipiga 2 na aka assist 1
 
Dogo amepikwa amepikika


Tuna utajiri mkubwa wa wingers wa Kushoto had Raha


Nelson amekuwa hatari Sana
Kilichonishangaza leo kwa Nelson, ana impact kubwa mno kwenye wings zote mbili, kuna game kabla hajaumia aliingia kuchukua nafasi ya Saka RW na alikiwasha saaana na alikua Man of the Game kama sijakosea na Leo kaingia kama RW ooh My God jamaa ni hatari sana
 
Kwel kaka.
 
Kuna vishabiki vya kiume humu havina koromeo kabisa timu iinapokuwa nyuma Bora mkashabikie nage pumbavu zenyu!!!
 
Bournemouth ndio timu inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi.
Bournemouth ndio timu pekee iliyofungwa goli 9-0 msimu huu kwenye Pl.
Arsenyani amepelekewa moto ndani ya dakika 60 na kugongwa goli 2-0 na Bournemouth.
Mpaka dakika 90 zinamalizika Asenyani ameambulia draw na timu inayoshika mkia.
Mashabiki wa Asenyani mngekua na akili mngesikitika na kujiuliza iweje Liverpool amemgonga Bournemouth goli 9 bila nyinyi mnakwama wapi mpaka mtegemee mbeleko kutoka kwa refa?
 
Umeumia sana ushindi wa leo wa Arsenal uchungu umewazidi mashabiki wa Bournemouth
 
Ujui kitu kajichambe na mchanga ukalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…