Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

According to reports Pep and Manchester City will never sell a player to Arsenal ever again.
The reason why Oleksandr Zinchenko and Gabriel Jesus were sold to Arsenal is because of Pep's mate - and he didn’t feel Arsenal were a threat." #afc #Ars
IMG_20230302_184129.jpg
 
Nitajie mchezaji bora wa EPL kwa sasa ambaye Sio BUKAYO SAKA..Nakusikiliza Kenge wewe

Actually nilikuwa narudia kutazama hili bao lake tena tena.Ni vitamin tupu

Kwanza namna alivyokuwa anaitaka kwa nguvu Ile pasi kutoka kwa Zinchenko baada ya Kujua Kila kitu kinachoendelea pale a alipojipozisheni.

Halafu amefanya Vitu viwili just kwenye one Movement .Turn ilikuwa kupokea mpira Lakini pia kuuweka mbali na Mykolenko.

Lakini pia kukaa katikati ya Mpira na Mykolenko.Then ni Imani Juu ya ule Mguu wake wa kulia kuchagua power and Precision kuuweka pale pale Juu ya Pickford

Goli 10 na assist 9.Goli 6 ni goli la Kwanza la Arsenal.Halafu goli 4 ni bao la kusawazisha la Arsenal


View attachment 2535102
Hili goli ni ubora wa Saka kwenye half space, lakini the key impact ni movement inayofanywa na Martinelli inamuacha mykolenko dilemma haelewi aende wapi. Nikionaga hivi vitu nampa heshima sn Mikel Arteta, top top structure, hawezi kukosa solution ya tatizo kwenye mechi tatu mfululizo.
 
Hili goli ni ubora wa Saka kwenye half space, lakini the key impact ni movement inayofanywa na Martinelli inamuacha mykolenko dilemma haelewi aende wapi. Nikionaga hivi vitu nampa heshima sn Mikel Arteta, top top structure, hawezi kukosa solution ya tatizo kwenye mechi tatu mfululizo.
We have got a SUPER MIKEL ARTETA
 
| Arteta juu ya umuhimu wa Zinchenko:


“Ndiyo maana tumemleta hapa. Analeta kitu tofauti kwa timu. Mtazamo wake na ubora wake wa kufanya mambo fulani huturuhusu kutotabirika na kuleta mashambulizi mengi kila wakati tunapomiliki mpira.” [@arsenal]

Niseme tu sioni kama Tierney ataendelea kusalia Emirates endapo zinny ataendelea kuwepo kwenye kikosi Cha Arteta...
FB_IMG_1677771197502.jpg
 
| Arteta juu ya umuhimu wa Zinchenko:


“Ndiyo maana tumemleta hapa. Analeta kitu tofauti kwa timu. Mtazamo wake na ubora wake wa kufanya mambo fulani huturuhusu kutotabirika na kuleta mashambulizi mengi kila wakati tunapomiliki mpira.” [@arsenal]

Niseme tu sioni kama Tierney ataendelea kusalia Emirates endapo zinny ataendelea kuwepo kwenye kikosi Cha Arteta...View attachment 2535192
Ila KT kwenye ulinzi next to none.
 
Nionavyo namna bora ya kupata ubora wa KT ndani ya mfumo tunaotumia sasa ni kama tutamsajili Frasneda acheze inverted RB wakati Leo Trossard akibaki LW, atleast inaweza kuleta dynamism tuliyonayo leo.
 
Kuna kipindi alikua anamtumia KT kwa kumpa uhuru wa kushambulia LW uku Xhaka akirudi ku cover Eneo la KT kama LB na hapo Smith Rowe ambaye alikua kama LW akiingia ndani kama No 10s. Kwenye Mfumo wa 4231 tunaweza kuupata ubora wa KT kama ambavyo tulikua tunaupata last season. Nawaza hakuna game Arteta anaweza tumia mfumo uo tena endapo game ikiwa ngumu kwenye upande wa mfumo wa 433 ambayo unamfanya zinny acheze hivi anavyocheza sasa??
 
Zinchenko sio LB, ni mchezaji asiye na majukumu zaidi ya jukumu moja la ku create chaos kwenye game ili Wapinzani washindwe kucheza, that's Y hata akiwa exposed au akifanya silly mistakes kwa upande wake LHS hakuna kulaumu, He's so important, ni km mchezaji anaye create dynamism kimfumo ilimradi timu isieleweke inachezaje pattern zake. I feel sorry for KT.

"When i felt bored in the game vs United i passed the ball to Anthony and then took it back" ~ Oleksandr Zinchenko
Oya hayo maneno ya mwisho alisema kweli??😄
 
𝐅𝐎𝐎𝐓𝐁𝐀𝐋𝐋 𝐌𝐀𝐃𝐄 𝐈𝐍 𝐀𝐑𝐒𝐄𝐍𝐀𝐋.

Hawa Kenge tumewapiga 4 na Mpira mwingi wakagawane na vibaraka wao shubaamitt

Michezo sawa and FIVE POINTS CLEAR.Umenisikia au niirudie?

Kama utasema team yako inacheza mpira mzuri,nitakuuliza kama Arsenal? Watu wanapasiana kutoka nyuma haijalishi Kuna Presha kiasi gani.Kila mchezaji yupo kwenye movement muda wote kuhakikisha Kuna options ya pasi haijalishi ni Eneo gani la uwanja.I ,You,We they call it Football organism

Arsenal ndo team ya kwanza msimu huu kuwa na wachezaji 2 wenye Goli 10+ , Bukayo Saka na Gabriel Martinelli

Kwenye magoli 10 ya Bukayo Saka, magoli 6 Yalikuwa niya kuipa Arsenal Uongozi kwenye Mechi.Na magoli 4 niya Kusawazisha.Ni Harry Kane peke yake ndo amefunga Magoli ya maamuzi zaidi ya Saka (11)

Let's talk kidogo kuhusu lile bao lake.Ile Movement ya Zinchenko ndo exactly alitakiwa kufanya.Kupunguza watu Peke yake ili kuifungua Ile Midfield ya Everton.Then Bukayo Saka anapokea na Mguu wa kushoto,on the turn na ule Mguu wake wa kuvukia Barabara.Baaaaang.

Infact Bukayo Saka amehusika kwenye goli 19 katika michezo 25 msimu huu.Ni ulimwengu wa Bukayo Saka tuishi humo.

Everton walikuja na Plan kama ya mechi ya kwanza.Arsenal wacheze ,sisi tuharibu.Waliziba Space na 4-5-1 kama kawaida,Lakini Arteta alikuwa na Plan nyingine.Kivipi?

Leandro Trossard amechukua tena nafasi ya Eddie ENKETIAH kikosini.Movement yake Kushuka kwenye Midfield,maana yake ilikuja ku Overload Midfield ya Everton.Ikawa ni Zinchenko, Jorginho/ Partey, Xhaka, Trossard vs Onana,Gana GUEYE na DACOURE.

Leandro Trossard pia Kuna Wakati alikuwa anabadilishana nafasi na Gabriel Martinelli, pembeni na katikati.Hii ilivuruga kabisa Muundo wa kuzuia wa Everton.Nafikiri Gabi Martinelli akicheza ndani kidogo na kuingia kwenye box anakuwa hatari zaidi kuliko kucheza kwenye mstari wa pembeni anakabika kwake urahisi.Na amefunga goli 2 Leo kufikisha goli 11 na assist 3

Nafikiri hii Plan ya LEANDRO TROSSARD Kwa team ndogo zinazopaki bus.Na Eddie ENKETIAH kwenye Mechi zile kubwa Kubwa itakuwa saafi tu

Note; Nia Yetu ni kukaa Kileleni Mpaka mwezi wa 5 halafu ubingwa mtaamua wenyewe wakumpa Kenge nyiee View attachment 2534761
Kenge ndiyo nani hao? Chelsea? 😄😄
 
According to reports Pep and Manchester City will never sell a player to Arsenal ever again.
The reason why Oleksandr Zinchenko and Gabriel Jesus were sold to Arsenal is because of Pep's mate - and he didn’t feel Arsenal were a threat." #afc #ArsView attachment 2535118
Waache roho za korosho. Tumewapa title winners kibao. Clichy, Nasri, Adebayor na tukawapa Arteta aende kumpa Pep mbinu.. .. 😄😄
 
Back
Top Bottom