Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Guardiola huwa akikaa pale juu hatoki. Biashara imeisha hii Asenyani asanteni kwa kushiriki.
Pep alichotuzid ni longetivity tu ya kikosi chake kuliko sisi

Pep Sasa hivi hata akitufunga shuguli anaipata hata kumiliki mpira mbele ya Arsenal hawez

Haya huyo Pep wako ambaye akiongoza ligi hashuki yupo wapi kenge wewe
 
Atakuwa mamluki tu.
Jamaa ni negative tu


Mimi kwa mpira tunaopiga kufungwa ni bahati mbaya

Mechi na city kwa mpira tuliopiga nilisema hata Kama tunafungwa lakini nimeridhika na kiwango Cha timu

Pep alishinda ila yeye mwenyewe anajua na alikiri Arsenal ni timu ya aina gan


Ukisema Pep Guardiola haraka kichwan kinakujia kitu Possession


Lakini Pep ni wakuja Emirates na kuzidiwa possession kwa 64-70%/?

Walioichambua ile mechi wanasema ilikuwa mechi ya kuamuliwa kwa makosa tu
 
Nitajie mchezaji bora wa EPL kwa sasa ambaye Sio BUKAYO SAKA..Nakusikiliza Kenge wewe


Actually nilikuwa narudia kutazama hili bao lake tena tena.Ni vitamin tupu

Kwanza namna alivyokuwa anaitaka kwa nguvu Ile pasi kutoka kwa Zinchenko baada ya Kujua Kila kitu kinachoendelea pale a alipojipozisheni.

Halafu amefanya Vitu viwili just kwenye one Movement .Turn ilikuwa kupokea mpira Lakini pia kuuweka mbali na Mykolenko.


Lakini pia kukaa katikati ya Mpira na Mykolenko.Then ni Imani Juu ya ule Mguu wake wa kulia kuchagua power and Precision kuuweka pale pale Juu ya Pickford


Goli 10 na assist 9.Goli 6 ni goli la Kwanza la Arsenal.Halafu goli 4 ni bao la kusawazisha la Arsenal


 
Zinny huyu kiumbe daah, anaziona pasi ambazo ni hatari kwa timu pinzani na timu yetu pia, i mean hata akipoteza mpira wakishika adui shambulizi tutakalopigiwa kama sio goli ni kosa kosa ya maana, kwaiyo zinny ni kiumbe kingine kabsa
 
Siwez kuwawaza nyie ,mbona hujiulizi why nyie mnajazana humu wakati Spurs na Newcastle wapo karibu kuwatoa top 4


Yaani nyie ndio mna Mandate ya kutusumbua sisi humu, mkiguswa nyie mnawaka
Sasa kama utuwazi mbona iwezi pita siku ujatutaja hapa?
 
According to reports Pep and Manchester City will never sell a player to Arsenal ever again.
The reason why Oleksandr Zinchenko and Gabriel Jesus were sold to Arsenal is because of Pep's mate - and he didn’t feel Arsenal were a threat." #afc #Ars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…