Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal tuna mishabiki milalamishi Sana

Walimtukana Gorginho kisa ushabiki maandaz wa kupondana na mashabiki wa Chelsea

Sasa hivi wapo kimya kuhusu Gorginho

Tuna mishabiki ya ajabu Sana ,hivi unwezaje kumkataa Gorginho ambaye unaweza kumuacha nje Partey na ukapata mechi nzuri tu

Je mashabiki wa hivi wanatutakia mema kweli?
Uyu Jorginho walikua wanasema mzee wa back pass ila sizioni hizo back pass zake zaidi ya forward na/penetration pass
 
Kuna watu hawaridhiki na matokeo. Hapo tumeshinda. Tungetoa sare ndo wangeanza kusema kila mtu hadi Arteta hafai.

Muda mwengine ni lazima tushinde vibaya. Sio kila siku tuta control game.
 
Tumecheza na hii timu ina beki Faes na hatujamanage kumpa presha mpaka ajifunge au atoe assist.

Wakuu tunapotea
Wewe jamaa unaboa Sana

Sio kila mech utashinda 5,2,3,4

Leo isifie VAR kutunyima Penalty ,Goal

Hata Lile goal la saka VAR ingeamua ni goal

Tume dominate mech yote , Leicester kapata shut 1 dk 90 Tena off target
 
Kuna watu hawaridhiki na matokeo. Hapo tumeshinda. Tungetoa sare ndo wangeanza kusema kila mtu hadi Arteta hafai.

Muda mwengine ni lazima tushinde vibaya. Sio kila siku tuta control game.
Halafu Sasa Bora tungekuwa tumecheza vibaya ,Wala tumetawala mech had Raha

Yaan Gorginho ni hatari kwenye possession aisee

Sikiliza kauli za mashabiki maandaz na kauli ya kocha ,unajiuliza kuangalia mechi kweli

Mikel Arteta:

"We had a really strong performance, to do what we have done to this team in this stadium, big credit to the players, because it’s not easy. "I don’t think we conceded anything, just one shot off target at the end, we dominated the game from start to finish."
 
Uyu Jorginho walikua wanasema mzee wa back pass ila sizioni hizo back pass zake zaidi ya forward na/penetration pass
Tuna mishabiki ya ovyo Sana , hizo back pass hata mm sizioni

Sasa hivi hatuna hofu na kukosekana Partey

Gorginho anakupa Quality ya uhakika

Walitaka mech Kama ile ya Villa au ya Leo twende na Lokonga wafurahi

Angekuwepo Lokonga leo Partey angewahishwa ,Ila Sasa hivi unamuacha nje tu

Karibuni anarejea Jesus ,tuna Quality Sasa maeneo mengi , Jakub bado hajapata nafasi, KT tushamsahau

Vieira ndio anazidi kuja zaidi, Arteta kasema anamuumiza kichwa

Rowe kapona
 
Arsenal tuna mishabiki milalamishi Sana

Walimtukana Gorginho kisa ushabiki maandaz wa kupondana na mashabiki wa Chelsea

Sasa hivi wapo kimya kuhusu Gorginho

Tuna mishabiki ya ajabu Sana ,hivi unwezaje kumkataa Gorginho ambaye unaweza kumuacha nje Partey na ukapata mechi nzuri tu

Je mashabiki wa hivi wanatutakia mema kweli?
Achana nao matakataka, eti kushindwa kumpa beki presha akajifunga mtu anakwambia tunapotea, takataka kabisa
 
Swali la kizushi kaka, Saliba aliwahi kujifunga pia na kutoa assist kwaio na wao wanapotea kwa kutokumpa presha? Sio kwamba mtu ame-learn from mistakes?
Mfatilie Faes halafu angalia kama upo sawa kumfananisha na Saliba
 
Kuna watu hawaridhiki na matokeo. Hapo tumeshinda. Tungetoa sare ndo wangeanza kusema kila mtu hadi Arteta hafai.

Muda mwengine ni lazima tushinde vibaya. Sio kila siku tuta control game.
Kuna mashabiki wao always wako negative tu, hayajui hata positive thinking ni kwa faida ya maisha yao binafsi, ni ya kupuuza tu
 
Tumecheza mpira mkubwa tu tuache chuki

Sio kila siku tutashinda mengi, First half had dk ya 70 Leicester walikuwa na xG ya 0 shot walipiga 1 tu

Unawezaje kubeza ?

Magoli tumefunga mengine VAR , Mfano penalty pia tumenyimwa

Hebu zungumzia performance nzima ya timu

Leicester wamekuja kuonekana kidogo dk za mwisho ,
Yaani wewe nafikiri kama unatumia simu kubwa kidogo inayoweza kumemorize maneno ukiandika tu ch inajimalizia chuki.

Hua huwezi kuandika hoja kabla ya kuita hoja ya mwingine chuki
 
Wewe jamaa unaboa Sana

Sio kila mech utashinda 5,2,3,4

Leo isifie VAR kutunyima Penalty ,Goal

Hata Lile goal la saka VAR ingeamua ni goal

Tume dominate mech yote , Leicester kapata shut 1 dk 90 Tena off target
Si mchezo.

Kwahiyo umenuna hapo ulipokaa?

Anyway, hii hapa ni observation yangu.

Hii 4 3 3 works better akiwepo Jesus, kwa Nketiah au make shift ST waliopo 4 2 3 1 ni better kwetu haswa kwa timu zinazojiandaa kupaki basi.

With 4 2 3 1 tunakua strong na constant threat hivyo beki fragile kama Faes ni easier akakosea. 4 3 3 inatufanya tunakua dominant ila timu ikipaki basi kulifungua inakua ngumu.

Uache ujinga
 
Ona pumba unazotema Sasa ,aliyekwambia Arsenal kashindwa kumfungua Leicester Nan?

Arsenal katengeneza chances kibao , situation tofauti tu ndio zimesababisha tusishinde magoli mengi ikiwepo VAR ,kunyimwa penalty clear na Goli .

Leicester Wala sio timu ya kubaki Basi Ila Control ya mpira wa Arsenal imefanya leo Leicester aweke rekod ya ku create xG 0.01 toka EPL ianze mwaka huu

Arsenal under 4-3-3 ndio imekuwa timu tishio had inaongoza ligi
Wewe unasema icheze 4-2-3-1 hizi bangi mnavutia wapi?
Project ya kocha anafika Arsenal ni kuja kuijenga Arsenal ya 4-3-3 yenye namba 8 au 10 wawili na Kiungo mmoja wa chini na kuntumia LB awe inverted Midfielder ,wewe unakurupuka unasema acheze 4-2-3-1

Hivi unajua wachezaji wanaosajiliwa ni proper kwa 4-3-3?

Kusema tucheze 4-2-3-1 ni kusema Arsenal irudi miaka 3 nyuma
 
Andika unavyoandika.

Arsenal imeanza kua tishio msimu uliopita second round with 4 2 3 1. Ambayo hiyo shape kutegemea na LB ni nani ingebaki hivyo au kuonyesha glimpses za 4 3 3.

Kisha tukaanza 4 3 3, second round against Spurs na United tumecheza 4 2 3 1.

Hizo visions za Arteta zinajulikana. Huna haja ya kunikumbusha, na ndiyo maana nasema bado hatuna watu wa kutufanya tuwe constant threat with 4 3 3. For now tunadominate game ila hatuwi lethal in front of goal.

It takes a bit longer ili kujua nani yupo sahihi. Am willing to take that bet kwakua am not blinded bado
 
Sikubaliani na wewe cuz timu zinazopaki bus kunakuwa na wazuiaji wengi so unahitaji attackers wengi ili kufunga goli. 433 inakupa hiyo option, mfumo una namba nane wawili LCM & RCM si km double pivot wa 4231, lkn hata inaruhusu FB kuwa inverted au kupush forward huku structure ikiwa compact km kuna any kind of transition, Inshort 433 inaruhusu defenders kuattack huku tukipunguza risk ya ku concede goals.

Pia unahitaji ku-Interchanging positions ku unlock packed defense, 433 inakupa option ya ku switch positions both kwenye Flank au central,

Xhaka, zinny, Nelli LHS

Saka, Ø, White RHS

Partey/ Jorginho, White Zinny, Xhaka,Ø,Jesus central,

IMO, mfumo wa kushambulia toka enzi huwa ni 433, ukiangalia Ajax total voetball ya kina Johan Cruyff, Barca ya Pep Guardiola etc.
 
Andika unavyoandika.

Arsenal imeanza kua tishio msimu uliopita second round with 4 2 3 1. Ambayo hiyo shape kutegemea na LB ni nani ingebaki hivyo au kuonyesha glimpses za 4 3 3.

Kisha tukaanza 4 3 3, second round against Spurs na United tumecheza 4 2 3 1.

Hizo visions za Arteta zinajulikana. Huna haja ya kunikumbusha, na ndiyo maana nasema bado hatuna watu wa kutufanya tuwe constant threat with 4 3 3. For now tunadominate game ila hatuwi lethal in front of goal.

It takes a bit longer ili kujua nani yupo sahihi. Am willing to take that bet kwakua am not blinded bado
Acha uongo, Arsenal kaanza kutumia double 8 msimu jana 2nd round

Wewe endelea kupiga ramli na kusubiri Gorginho akosee useme ulisema

Kwasasa tafuta vichaka maana mnaaibika
 
Ona pumba unazotema Sasa ,aliyekwambia Arsenal kashindwa kumfungua Leicester Nan?

Arsenal katengeneza chances kibao , situation tofauti tu ndio zimesababisha tusishinde magoli mengi ikiwepo VAR ,kunyimwa penalty clear na Goli .

Leicester Wala sio timu ya kubaki Basi Ila Control ya mpira wa Arsenal imefanya leo Leicester aweke rekod ya ku create xG 0.01 toka EPL ianze mwaka huu

Arsenal under 4-3-3 ndio imekuwa timu tishio had inaongoza ligi
Wewe unasema icheze 4-2-3-1 hizi bangi mnavutia wapi?
Project ya kocha anafika Arsenal ni kuja kuijenga Arsenal ya 4-3-3 yenye namba 8 au 10 wawili na Kiungo mmoja wa chini na kuntumia LB awe inverted Midfielder ,wewe unakurupuka unasema acheze 4-2-3-1

Hivi unajua wachezaji wanaosajiliwa ni proper kwa 4-3-3?

Kusema tucheze 4-2-3-1 ni kusema Arsenal irudi miaka 3 nyuma
Hamisi unaupiga mwingi. Mpe huyo dogo shule
 
Andika unavyoandika.

Arsenal imeanza kua tishio msimu uliopita second round with 4 2 3 1. Ambayo hiyo shape kutegemea na LB ni nani ingebaki hivyo au kuonyesha glimpses za 4 3 3.

Kisha tukaanza 4 3 3, second round against Spurs na United tumecheza 4 2 3 1.

Hizo visions za Arteta zinajulikana. Huna haja ya kunikumbusha, na ndiyo maana nasema bado hatuna watu wa kutufanya tuwe constant threat with 4 3 3. For now tunadominate game ila hatuwi lethal in front of goal.

It takes a bit longer ili kujua nani yupo sahihi. Am willing to take that bet kwakua am not blinded bado
Bwana Castr kuwa lethal sio tatizo, labda tu wachezaji hawakuwa clinical infront of the goal, yani sio killers, if your system manages to create the better situation and position of the shot to score, kwanini ubadilishe mfumo? Sijaona hoja ya msingi, kwa mfano unaona game opponents waki concede chances after chances dhidi yetu, asa unawezaje kusema mfumo haufai? kwa sababu tumeshinda goli moja?
 
Kisha, kisha kisha nye nye nye nyeee. Hujui kitu zaidi ya ku tafsiri analysis za pundits huko mitandaoni. Keti chini Hamisi akupige shule

Eti andika unavyoandika. Ndo write whatever you write?

Nchi imejaa vijana wa hovyo sana
 
Bwana Castr kuwa lethal sio tatizo, labda tu wachezaji hawakuwa clinical infront of the goal, yani sio killers, if your system manages to create the better situation and position of the shot to score, kwanini ubadilishe mfumo? Sijaona hoja ya msingi, kwa mfano unaona game opponents waki concede chances after chances dhidi yetu, asa unawezaje kusema mfumo haufai? kwa sababu tumeshinda goli moja?
Huyo Bwana akafundishe yeye. Maana anajua sana.
 
Back
Top Bottom