Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,031
- 40,064
🤔
Tunakosa Movements za Striker pale Mbele, Martinell anakosa wa kumuwekea pale kati ndio maana unaona anajaribu mwenyewe. Nketiah ataingiaArteta kamtesa tu Trossard kucheza kama false nine amrudishie Nketiah tu mbele hakuna madhara yoyote huyu Martineli ndo wakukaa nje too childish now days mechi nyepesi inakua ngumu
Mssenge ni huyo ben white wako Half americanVAR ni ya kiseeenge sana![]()
Ogopa kwaresmaVAR ni ya kiseeenge sana 😬
niache 🤣Ogopa kwaresma
Mjukuu wa shettyniache 🤣
Mpira haunaga kwaresmaMjukuu wa shetty
sub ya vardy imetuvuruga kiasi fulani.Utulivu umepotea
Shobo tu ! uliitwa?Ukiwakuta Arsenyani wanavyojisifia kucheza mpira mzuri utahisi labda wanaenda kushinda 5 bila kumbe wataotea kigoli kimoja tu, yani wakitekenywa kwenye injury time shughuli ndiyo imeisha.