Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
XSHAKA aanzie benchi waanze gorginho na parteyArteta amesema Partey yupo fiti Ila hawatamuharakisha sababu Gorginho yupo
XSHAKA aanzie benchi waanze gorginho na parteyArteta amesema Partey yupo fiti Ila hawatamuharakisha sababu Gorginho yupo
Tayari Arsenal vs Sporting CPJaman uropa wanapanga lin
Nikagumu ako ka team ila tunaweza tukashindaAu Sporting Lisbon

Ulikabia juu na Arsenal?Tuna press kuliko timu yoyote duniani kwa sasa. Yani tunakabia juu hata uwe nani man u style yetu kwa ss ni kukabia juu, lazima upotee mana inafika kipindi hujui pasi umpe nani.
Tumeifunga timu kubwa duniani, nyie watoto kazi yenu kukamia game, Arsenal kuifunga Man utd ni kama Ihefu kuifunga Yanga ni bahati mbaya tu.Ulikabia juu na Arsenal?
Tuache ushabiki maandaz ,bado man u hamna press ya maana ,labda mkicheza na timu za ovyoTuna press kuliko timu yoyote duniani kwa sasa. Yani tunakabia juu hata uwe nani man u style yetu kwa ss ni kukabia juu, lazima upotee mana inafika kipindi hujui pasi umpe nani.
Barcelona ni mbovu ,mech yenu yeyote alikuwa anapita wote mnaacha magepu SanaTumeifunga timu kubwa duniani, nyie watoto kazi yenu kukamia game, Arsenal kuifunga Man utd ni kama Ihefu kuifunga Yanga ni bahati mbaya tu.
Hii timu sindio iliingia kwenye box la Arsenal mara 13 tu ndan ya dakika 90?Hakuna timu inaweza kuisumbua Man utd kwa ss hapa duniani. Kosi lenye viwango, kosi la duniaView attachment 2528957
Wala hujakosea, team yenyewe ndio hii.Hii timu sindio iliingia kwenye box la Arsenal mara 13 tu ndan ya dakika 90?
Ni kweli nilifuta app ya Jamii Forums, now naingia direct kupitia website..Screenshot ya kwanza tunakukumbusha kwanza ahadi yako kuhusu Mudrick kuhamia Chelsea.
Screenshot ya pili huyu ni shabiki mwenzenu wa Arsenal akielezea kati ya Man Utd na Arsenal ni mashabiki gani kazi yao ni kufuga matako tu. View attachment 2529394View attachment 2529397