Arsenal (The Gunners) | Special Thread

So far, jorgii ni kam ameanza na timu toka, season ya kwanza

So far so good,, Jorgi, man of the match
Binafsi nimeona moments nyingi zilizoashiria hatuna mid nzuri au hakuna maelewano kati ya Xhaka na Jorginho
 
Leo Nketia anasemwa balaa, bora Martineli wamemsahau🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Zuwena wanamabadiriko sanaa
 
Nawaonea huruma Northigham forest hapa dah! Hawa City watawatoa nyongo hawa watoto bure
 
Leo Nketia anasemwa balaa, bora Martineli wamemsahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Zuwena wanamabadiriko sanaa
Halafu kuna kima moja humu ilikua inadai Nketiah ni bora kuliko Rashford[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…