Imagine next week Torres afunge goli la ushindi, I will go crazy kudadeki... Ila to be honest I am having a sense of Deja Vu.
Huo ndio uana michezo mkuu. Asante.
Michelle... kila siku kumbuka "Bala is always here"
Samahani Mkuu ni magoli ya kufungwa MANU wamefungwa 32 na Chelsea wamefungwa 28, hivyo kama Chelsea watashinda kwa idadi yoyote ile ya magoli Jumapili ijayo watachukua usukani wa EPL.
Teh teh teh teh well beaten Man Utd !
Pundits gani hao unao wazungumzia mkuu? Maana English media siku zote ina soft spot na timu za London.
Yeah.............Bala is always here
AW punguza yengele bana...
BBK na Michelle nendeni mkalale na nyie...
Wacha1 ukirud frm Emiratani PM...achana na stor za bahasha, naona leo na nyie mmetoa....
Mi Arsenal mna keleleeeeee! agrrrrrrrrrr!
All in all Hongereni sanaa...leo kipofu kaona mwezi...pamoja sana....apa nawaza kwata kuingia hm..familia yte Arsenal damdam...
yeah, they will kill all the dreams of arses fans!!Next season,arsenal fc will be more than murderers.
kumbe we can play bila ya cesc febragas uwanjani.. na tukashinda... >> wenger afanye faster kauze kale katoto.. atafute mid. F wa maana aliyeshiba
kumbe we can play bila ya cesc febragas uwanjani.. na tukashinda... >> wenger afanye faster kauze kale katoto.. atafute mid. F wa maana aliyeshiba
Comment ya kwanza kuhusiana na Wenger aondolewe Arsenal, maana kwingine kote nilikopitia kila mtu amesahau machungu yote ya msimu huu.Ramsey kuna kipindi alikuwa anhezeshwa kiongo katika game ambazo Cesc alikuwa anamiss,na alionekana kucheza vizuri tu,akipewa anafasi anaweza kuziba pengo la Cesc.....
Kingine ni kwamba Wenger naye anatakiwa aondolewe Arsenal,tupate meneja mpya ambaye atatuletea makombe badala ya huyu anayetaka kuwala chenga wenzie...Wenger aondolewe sasa,akiendelea kuwepo hadithi zitakuwa zilezile za kujenga timu kwanza(for 6 years?)
Mkuu ulikuwa unalishwa kwa mrija?mi tangu tufungwe curling cup sikuwa na hamu na asrsenal...etlist leo naweza kupa appetite na msosi ...lol