Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiyo Waingereza wenyewe wanaita "early kick-off" [emoji23]

Mechi ya mapema haijawahi kumuacha mtu salama.
Kwaiyo mkuu unataka record ya mechi 4 tu! zilizopita sio record yao ya misimu hata mitatu nyuma Kwaiyo unataka kusema martinel ni Bora katika mechi 4 tu.
 
Arsenali bado wana nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa[emoji28]. Nakumbuka msimu wa 2016/17. Chelsea iliongoza ligi kwa mpishano wa point 2 adi tarehe 25 decemba kama sijakosea. Mechi ya tarehe 26 decemba wakalingana points na magoli na Man city.

Watu wakasema sasa ligi inaanza upya mwisho wa siku Chelsea akawa bingwa[emoji485]. So hata arsenal bado ana nafasi ya kutua ubingwa[emoji1666]
 
Nafasi kubwa Arsenal walionayo ni kucheza Europa msimu ujao.

Nimekaa paleeeee
 
makocha wengi sna bdo kiuwezo wako chini mno kulinganisha na pep.

second half kwenye mechi ya jana ndio ilionesha jinsi alivo hatari kumsoma mpinzani.

arteta inabidi awe na systems tofauti tofauti za namna timu yake inacheza.. wapinzani washamsoma tyari mbinu yake moja anayoitumia karbia kil mechi.

tutarajie game zingine ngumu zaid uko mbeleni kama hatokubal kuwa flexible vya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu wa 2002/3
 
Acha ngonjera, umepigwa tulia Grahams
 
Kumbe tokea 2016/17 hawajawahi kufuzu UCL[emoji23][emoji23][emoji23] hawaruhusiwi hata kuwa na uzi hapa jamii forums. Maana hawana tofauti na Crystal Palace.
 
Aisee usilinganishe Chelsea na vitu vya kijinga Green Koryo
 
Usiwe mkali hivyo braza jana umetufunga, mbona,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…