Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dhuruma inayofanywa na bodi ya ligi ya England, kwa Team bora ya Arsenal ipo siku wata umbuka tu,,

Licha ya kufungwa na man city ila pia kuna jitihada nyingine zina fanywa nje ya uwanja,,
Ushahidi upo hii nayo ina ua morali ya team.

Ila fresh tu hata man city, man u, chelsea, liverpool, totnhum inshort zote zimepitia na zingine zinapitia hii hali.
Tuna rudi tena,, kuwashangaza
 
acha kulialia wewe komamanga, penati yenyewe mmepewa ya mchongo alafu unaanza epl wanatuonea nyenyenye....
sie wenyewe tulipigwa goli la offside na manure ila tukatulia tu.

epl ndio walimwambia tomiyasu atoe pasi kwa kdb?

epl ndio walimwambia ramsdale adake mipira kama anadaba panzi?

Tumbili fc.
 
Arsenal hamuwezi kufika mahali mkiendelea kutegemea wachezaji wenu wa mafungu. EPL kuwa tu kwenye nafasi 4 za juu siyo kazi rahisi achilia huo ubingwa wenyewe.

Mfano mzuri ni nyie kushindwa kufuzu UCL tokea msimu 2016/17. Yani kwa miaka yote hiyo mlishindwa kikosi cha maana cha kuwaingiza top 4 tu.
 
Sasa pressure na upo home tena Emirates. Je, sisi tunaoenda kucheza Camp Nou tusemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…