Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,521
Bruv nimegundua hii slogan yako inawakata pozi rivals wanateseka, shikilia unapo shikaga.[emoji3]
Bruv nimegundua hii slogan yako inawakata pozi rivals wanateseka, shikilia unapo shikaga.[emoji3]
Kurisk kwenye game kama hii sio njia sahihi hasa first half may be afanye ivyo second half,Link up play ya Nketiah is not superb. Angerisk kumuweka Martinelli au Trossard
Mkuu hizi KENGE wengi wao ni jobless vijana wa hovyo zitaelewa tuBruv nimegundua hii slogan yako inawakata pozi rivals wanateseka, shikilia unapo shikaga.[emoji3]
Akianza trossad badala ya nketia tutakosa central strikerMechi hii ingependeza aanze TROSSAD badala ya NKETIAH,anyway In Arteta We Trust
Leo mmeyakanyagaAsenali wanakaba vzur,
tatzo wako slow kushambulia city akipoteza mipira
Aaah wapi, [emoji4]Leo mmeyakanyaga