FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,924
- 11,305
Mmeshinda ngapi?Tukutane after 90 mins
Mmeshinda ngapi?Tukutane after 90 mins
Pumzi imekata next week mnatoka pale kileleni kenge maji nyie


Wacha mvua ziendelee kunyesha ili tuzione vizuri tundu za Asno zinazovuja.Too late kijana...subiri uwaweke kwa Man CityBinafsi nadhani ni muda sasa kocha aanze kufanya rotation ya kikosi, timu pinzani wameshatujulia maana wachezaji ni walewale tu kila mechi
Toa White weka Tomiyasu aanze
Toa Martinelli Trossard aanze au kama vipi Nketiah apishe pale kati Martinelli acheze hapo
Si tunasema tuna Versatile players? Ndio muda huu tuone iyo versatility la sivyo tutakuja kutukanana humu sio muda mrefu
Wanangu wenyewe wa Brentford kina Yoane Wissa, Ben Mee, Mathias Jensen, Bryan Mbeumo na Ivan Toney muda huu wapo wananoa mashine zao katika jiwe la konelea visu. View attachment 2513649View attachment 2513651





Dah acha tuMmeshinda ngapi?
Asante mkuu, tunaoumia ni sisi mashabiki🤣🤣🤣🤣polee asee
Sio wachezaji tu mpaka mashabiki wao huwaambii kitu kwenye michezo ya kurudi rivers.Timu imejaa mashoga unategemea nini View attachment 2514092
Form ya shule ya msingi ama ya chekechea?Sio mbaya Arsenal tutarudi katika form yetu
Hawa wanajukwaa lao pale emiratesSio wachezaji tu mpaka mashabiki wao huwaambii kitu kwenye michezo ya kurudi rivers. View attachment 2514101