🤣🤣🤣🤣polee aseeMy arsenal 🙆
Naunga mkono hojaGari imepiga trip za kutosha ni muda wa gereji sasa. [emoji1787]
Kwa udhamini wa Jorginho.
Tunakoelekea huko hata Arteta atakuwa mchawi wenu tuMchawi wetu leo Nketiha. Mzito hana macho anakimbia kimbia tu
Tayari wapo kwenye utaratibu wa kukabidhi ukinara wa ligi. Tulijua pumzi itakata tu.Hii ndo arsenal sasa ile nyingine mli azima wapi [emoji81][emoji81]
Mkuu unaongeleaje game zetu 8 zijazo maana game 2 katika zile 10 tushaziona zilivokuwaAssume city katupiga game zote mbili
Hivi unafikiria hapa njiani city hata toa sare au kufungwa kabisa?
Au tu nikuambie msimu huu city sio tishio kama misimu iliyopita
City anafunga pia anafungika
Ila kwa sasa arsenal akishinda ni habari
Ila arsenal akifungwa ni habari ya kusisimua
Kwanza umeziona game zetu 10 zijazo?
Arsenal NDOO
Binafsi nadhani ni muda sasa kocha aanze kufanya rotation ya kikosi, timu pinzani wameshatujulia maana wachezaji ni walewale tu kila mechiMkuu unaongeleaje game zetu 8 zijazo maana game 2 katika zile 10 tushaziona zilivokuwa
Makocha wa EPL washamsoma Arteta wanachofanya sasa hivi ni wanapita kwa kudesa mle mle kwa Everton kazi mnayo mjiandae kisaikolojia. Sema kisingizio mnacho mlisema ubingwa sio malengo yenu malengo yenu top 4[emoji1787][emoji1787]
Mmeshinda ngapi?Tukutane after 90 mins