Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Sasa nimepoteza imani yangu kwa saliba
Bora angetoka akaingia FabioMchawi wetu leo Nketiha. Mzito hana macho anakimbia kimbia tu
Hiyo kushinda labda itokee miujizaNext stop MAN CITY[emoji25]
Huwa tunasema mapema arsenyeto huwa uwezo wa kushinda Sasa mnarud kwenye hali yenu waja laana nyie chipumu fc😂😂😂😂😂😂😂Kila la kheri brentford
Arsenyeto mkishinda nipo pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]