Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sisi mpaka dakika ya 50 tayari tulikua tumeshapigwa goli 2 kwa bila, ila wanawaume tulipiga comeback ya hatari ndani ya dakika 20 tukarudisha magoli yote, nyinyi watoto wa kiume dada Ever kawagonga kimoko tu na mkashindwa kukirudisha.
Usifananishe rejuvenated Everton na Leeds ambayo hadi sasa sijui waliwafungaje hizo goli 2. Timu ambayo hata kupasi mpira hawawezi. Mara nyingi mlikuwa mnapewa pasi hata karibu na goli lao. Walikuwa wakibutuabutua tu 90mins
Mlikuwa at the very lowest form msimu huu. Yale mabadiliko mliyofanya ya Sancho ndio iliyowakwamua.

Kwa upande mwingine Everton wao walikuwa na nidhamu kubwa kwenye kujilinda. Everytime walipopoteza mpira walirudi nyuma na kuweka zonal marking. Wachezaji wenye vimbelembel wa Arsenal pia walikatiwa RB
 
Amina tuko pamoja wazee wenzetu wa London, tatizo mna Mashabiki wenzenu mapimbi wanakuja kututukana kwenye nyuzi zetu bila sababu zozote za misingi.

Wana Chelsea tunawatakia kila la heri kuhakikisha mnabeba ubingwa wa EPL 2022/2023.
Arsenal Fans maombi yangu huwa hayapiti bure, FT Tottenham 1 - 0 Mwa-City, na leo hii mtashinda maana Mwa-City kashajifia kiakili tokana na makosa zaidi ya 100 kuhusu FFP.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanangu wenyewe wa Brentford kina Yoane Wissa, Ben Mee, Mathias Jensen, Bryan Mbeumo na Ivan Toney muda huu wapo wananoa mashine zao katika jiwe la konelea visu.
Screenshot_20230211_143112.jpg
Screenshot_20230211-144847.jpg
 

Attachments

  • 2023-02-04T155018Z_688014490_UP1EJ2417ZTL1_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-BRE-SOU-REPORT.JPG
    2023-02-04T155018Z_688014490_UP1EJ2417ZTL1_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-BRE-SOU-REPORT.JPG
    30.6 KB · Views: 10
Nyie Kima mnatakiwa muonyeshe appreciation kwa watu wanaoleta uhai kwenye jukwaa lenu.
Yaani humu kweli mnashindwa kuchangishana hata mia tano mia tano mkamnunulia Aaron Arsenal japo Tecno ili aendelee kuwalisha matango pori?
Yaani hili timu nilijua bahili ni Kreonke peke yake kumbe mpaka mashabiki wake ni mulemule tu.
Yaani bila Aaron Arsenal humu jukwaa linapoa utafikiri wapo kwenye maombolezo ya msiba wa kitaifa.

AsaniWali Jaba
Haaland Kiatu.
 
Nyie Kima mnatakiwa muonyeshe appreciation kwa watu wanaoleta uhai kwenye jukwaa lenu.
Yaani humu kweli mnashindwa kuchangishana hata mia tano mia tano mkamnunulia Aaron Arsenal japo Tecno ili aendelee kuwalisha matango pori?
Yaani hili timu nilijua bahili ni Kreonke peke yake kumbe mpaka mashabiki wake ni mulemule tu.
Yaani bila Aaron Arsenal humu jukwaa linapoa utafikiri wapo kwenye maombolezo ya msiba wa kitaifa.

AsaniWali Jaba
Haaland Kiatu.
wewe ni miongoni mwa MACHOKO wa JF
 
Naamini bado hatupo vizuri sana kwaajili ya 4 3 3 ndiyo maana nilikua nasema kwa games kama ya Spurs na United tucheze 4 2 3 1 and we did na kushinda

Nafikiri tungestick na hii 4 2 3 1 kwanza.
 
Back
Top Bottom