Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndo ushabiki lazima usifie chako hata kama ni kibovu ila ni chako.
 
We Aaron unaishi ulimwengu upi.
Unatakiwa ujifunze sana markets dynamics za Sports in general. Every player is on sale. Slogan kwamba somebody not for sale ni mbinu za kuvutia mzigo mkubwa zaidi. Sisi Chelsea tungeamua kufa na Caicedo tungembeba hata kabla giza halijaingia
 
Persistence hamkuwa nayo. Pia negotiators wazuri bado sana hamnao. Hakuna hata kidogo bidhaa isiyohusika sokoni. Mbinu ya brighton ni hiyo hauzwi ili mkate tamaa au mje na bei inayoshawishi kubadili mawazo. Mimi naona policy yenu ya upare bado itawasumbua sana hadi muibadilishe. Ila sioni mkifanya hivyo labda kwa owners wengine. Narudia kusema, On Earth hakuna bidhaa isiyouzwa. Labda mbinguni. Kila mchezaji ni bidhaa. Hata kwa mchezaji ambaye ni moyo wa timu ukitoa bei yenye kushawishi unapata.
Mfano ukitaka Haaland Man city unampata. Toa tu pesa inayotia wamiliki majaribuni watakupa
Wachezaji wengi wazuri wanaitwaga untouchable kwa maneno mengi hauzwi.
Timu ndogo kama Brighton hawana jeuri ya kugoma kuuza mchezaji. So mjitafakari kwenye hizo sera zenu za upare itawanyima wachezaji wengi wazuri.
Warning. Hata mkibeba EPL. Msipokuwa na quality deep squad. Misimu ijayo usishangae mkirudi midtable. EPL ni ligi ya pesa nyingi only the fitest will survive. Darwin law
 
Jamaa angu una chuki Sana na sisi

Sijawahi ona shabiki wa Chelsea anayetuchukia Kama wewe
Hao ndiyo wanafanya sisi mashabiki wengine wa Chelsea FC tuonekane hatuitakii mema Arsenal FC.

Nasema tena, nawatakia kila la heri Arsenal FC kubeba kombe la EPL 2022 - 2023 ili mtuheshimishe wana London kwa kusababisha EPL iendelee kuwa ligi bora kiupinzani maana Mwa-City wakichukua tena mwaka huu mara ya 3 mfululizo haitaleta hamasa wala ladha yoyote ile kwetu wapenzi wa EPL kuifatilia EPL kisawa sawa.
 
Nimesoma sehemu wakala wa Caicedo anawashutumu BHA kwa kumbania mteja wake asiende Arsenal, kuwa fursa hii haitajirudia mara mbili. Nami namuunga mkono haitajirudia tena.
 
We jamaa nikuulize Leicester walitumia pesa kiasi gani kushinda EPL?
PSG wameshatumia pesa nyingi Sana katika usajili was wachezaji ila mpaka leo wameshindwa kubeba taji la maana la UEFA

Man Utd nao vile vile, waliwasajili Bruno, Maguire,Pogba,Antony,Sancho,Di Maria na Lukaku ila hawajahi kushinda EPL

Mkuu, soccer Ni karata chochote kinachowezekana
 
Furgerson alishawahi beba Hilo kombe Mara tatu mfululizo kwa hiyo sio Jambo geni mkuu
 
Lampard alikuwa kiungo mkabaji?
 
Kipindi leicester city anachukua ubingwa team kubwa karibia zote zilikuwa wanaseason mbaya kasoro tu Spurs na Arsenal pekee kuanzia Chelsea, Man u, Liverpool na Man city walikuwa ovyo ndio maana leicester kwake ikawa rahisi kuchukua ubingwa lembu naona jamaa kashasahau
 
Chelsea spent a record £272 million during the 2022 summer transfer window, making it the biggest single market from an individual team in the history of the game.....na ni midtable team,kama vi i weka msimamo hapa

Alafu ndio uje na hoja yako hii unayotaka kujaribu kutuaminisha...

Wesley Fofana €80.4m
Marc Cucurella €65.3m
Raheem Sterling €56.2m
Kalidou Koulibaly €38m
Carney Chukwuemeka €18m
Pierre-Emerick €12m
Gabriel Slonina €9.1m
Denis Zakaria Loan
 
Aaaah! Nilisahau, kumbe Pep anataka kuvunja rekodi ya mzee wetu SAF!!!

Kuanzia leo Arsenal nawaombea ushindi mpaka mwisho wa msimu, hili kombe liende London.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…