Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Amepiga hat-trick mpaka sasaBalogun kaweka goli
Mtoto ana balaa huyu
Arteta ataanza kufikiria kumrudisha au kumuuza kwa Bei nzuri
Kashampita MbappeAmepiga hat-trick mpaka sasa
Kashampita Mbappe
Nilimchukulia poa Sana, Sion akikubali mkopo Tena ,Sahihi anafunga kweli kweli amenishtua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tatizo lenu nyinyi linapokuja suala la usajili hua hampo serious, halafu mna masharti magumu kama waganga wa kienyeji.Umemjibu vzr Sana, tatizo sijui huwezi kumuelewa huyu jamaa anafanya utani au hajui
Mstari unaomtenganisha na utani na kutojua Ni mwembamba Sana .
Mngeenda nyie kumnunua[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tatizo lenu nyinyi linapokuja suala la usajili hampo serious, halafu mna masharti magumu kama waganga wa kienyeji.
Mudryck mmemkosa kwa masharti ya kipuuzi, sharti la adds on kulipwa eti mpaka Mudryck apate tuzo ya Ballon d'Or.
Yaani mchezaji wa Arsenal apate tuzo ya Ballon d'Or hivi mpo sawa kweli nyie?
Usikute hata Brighton waliambiwa miongoni mwa masharti ya adds on kwa Caicedo ni Arsenyani kushinda kombe la Uefa msimu ujao, wakajionea upuuzi na kuwajibu tu shortcut Caicedo hauzwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngeenda nyie kumnunua
Wewe umemjua Enzo kwenye kombe la dunia ndio maana unakoment hovyo hujamwangalia akiwa na Benfica nini alikuwa anafanya UEFA champions leagueKuna mchezaji anaitwa James Rodriguez, mColombia, akasumbua sana kwenye WC watu wakasema kifaa hichi hapa.
Kikaenda Bayern kikaenda Madrid ila hakikung'aa kama kilivyong'aa WC. Na ile volley yake 🔥
Anyway, jana nilikua mtandao fulani hivi nikakuta wanamsifia Enzo na clip waliyoweka kwa 70% ilikua inatokea kombe la dunia la Qatar ambapo hiyo clip inaonyesha akipiga long balls tu na moja akifanya body faint.
Bora kaja EPL ili wote tuone.
Kwa mnaomfatilia huyu, mnaonaje anaweza kucheza aina ya mpira tunaoucheza?Balogun kaweka goli
Mtoto ana balaa huyu
Arteta ataanza kufikiria kumrudisha au kumuuza kwa Bei nzuri
Huyu ni kama Jesus.Kwa mnaomfatilia huyu, mnaonaje anaweza kucheza aina ya mpira tunaoucheza?
Umemuweza.....Umemjibu vzr Sana, tatizo sijui huwezi kumuelewa huyu jamaa anafanya utani au hajui
Mstari unaomtenganisha na utani na kutojua Ni mwembamba Sana .
La kumuuza naliona si jema, atatufaa hapo mbeleni, akae to loan hata 2 seasons. Saliba case.Balogun kaweka goli
Mtoto ana balaa huyu
Arteta ataanza kufikiria kumrudisha au kumuuza kwa Bei nzuri
Na jinsi tulivyompata Enzo mbona patachimbika Ombeni tu mchukue tofauti na hapo Hili jukwaa mtaliona chunguWatu wanaumia mno Arsenal kuongoza ligi, hasa Manyumbu & chelwowo, siku tukianguka utaona matusi yatatolewa humu, kama tulivyokosa nafasi ya UEFA last season! Utaambiwa "tulijua tu", infact wanafki wanajulikana, kujikuta wanatoa sifa kumbe wanabadilika na upepo yaani bendera.[emoji1787]
Game zimebaki 19, kila mechi fainali, Jesus yupo mbioni kurudi, hata hatujamkumbuka, so lets pray tuwashut up.