Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe unamuona Jorginho ni mchezaji wa project? huwa naelewa sn mchango wako humu but If you don't know what to say please keep quite brother.
Kwakua hiyo ni comment ya kwanza am sure utakuta mbele nilichoandika kingine
 
Ni ngumu Elneny au Lokonga kua cover ya Partey kwakua Partey ana traits zote za hawa wawili huku zikiwa better zaidi.

Kwa kifupi Arsenal hatuna mbadala wa Partey.
 
| Mikel Arteta:


“Jorginho is a midfield player with intelligence, deep leadership skills and a huge amount of Premier League and international experience. Jorginho has won in his career, but he still has the hunger and huge willingness to contribute here.” [@arsenal] #afc
 
Unataka DMs watatu, dakika utawapa wewe brother? hapo lokonga na Jorginho hawana record mbaya za majeruhi.
 
Jorginho on Mikel Arteta:

“He was a big influence because I know that he tried a few times to get me before and it didn’t happen due to other reasons, not because of my wishes. So of course, he had a big influence."
 
Nimesema jamaa yuko slow, hana pace, mzito kwenye decision making.

Wewe sasa usikomae na benchi limesema. Nijibu wewe kwa kutumia akili zako kwamba nimekosea kwa sababu hizi hapa.

Hoja ya benchi limesema ni hoja ya wafuatilia mpira livescore
Kwa manufaa ya members jaribu kufafanua mkuu ili watu waelewe na kama yupo wa kupinga na yeye aseme anachokijua. Mfn ukisema yupo slow ni yupo slow kwenye nini na vile vile unaposema ni mzito kwenye kufanya maamuzi una maanisha nini. Nadhani kwa kufanya hivyo utakuwa umetengeneza argument yenye fact
 
Edu


: “Jorginho is an established professional with a strong mentality who brings quality and experience into our squad. He is a player who fits our style of play and joins us at a very good moment where he can contribute in a key position to help maintain our momentum.” #afc
 
Coach also thought Lokonga was a cover for Partey
Anavyofikiri kocha sio kama wanavyofikiri mashabiki, anaishi na wachezaji kila siku, sisi tunawaangalia tu kwenye screen, kuna mambo mengi yanaangaliwa kwa mchezaji, ndio maana kuna wachezaji walipigiwa kelele na mashabiki lakini kocha anaamua kubaki nao na wanafanya vizuri. Kwahiyo sio kubwatuka bwatuka tu kama wewe ndio kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…