We jamaa unatuchukulia poa ila tutasumbua kiasi kikubwa tu hii second half of the season.
Mmeingia sokoni na kapu lenu, sasa mnakusanya nyanya na mabiringanya, muhimu mafungu yawe makubwa makubwa kwa bei rahisi.
Umesahau beki mrefu Gabriel, watu wamemtukana sana humu, lakini kila zikiletwa stats anaonekana yuko vizuriWewe jamaa ndio maana yule jamaa anakutukana matusi makubwa , lini mashabiki wa Arsenal walimtukana jorginho ? Mchezaji wa Chelsea atukanwe na mashabiki wa Arsenal ,hebu acheni kutafuta Kiki humu
Huyo Silvester kipind hicho hata JF sidhani Kama ilikuwepo au imechangamka ,
Jitahidi kuchangia point
Wanaotukana wachezaji Mimi binafsi huwa nawaambia ukweli ,katika sajili za Arteta na Edu wamefaulu kwa 80% na wapingaji wameaibika
Hata Jesus , Ramsdale,ode,Tomiyasu, n.k wametukanwa Sana humu ,
He's approaching 24 kijana mdogo? analingana age na Rice!! Vipi Gavi, pedri, Bellingham Wana umri Gani? mbona wako vizuri ingawa wachanga na hawana uzoefu mkubwa sana.Kwamba Lokonga sio mchezaji? Guys labda mimi sijawahi kuujua mpira, hata Xhaka kuna kipindi tulisema ni shyte tu, leo hii kila mtu kimya. My opinion is, Lokonga ji bonge la mchezaji, bado kijana ndogo na anajifunza, huenda akibadilishwa namna ya uchezaji akawa vizuri zaidi.
Labda utoe aspects za kimpira kunijibu, otherwise naona hate tu kwa dogo.
Kwa umri wake hakuna anayeamini kwamba huyu ni wa muda mrefu na ni crucial starterMkuu Jorginho amesajiliwa akiwa ni "cover" na ana mkataba wa mwaka mmoja.
Ni kweli Jorginho ana mapungufu yake lakini amesaidia timu ya Chelsea kutwaa Champions league, UEFA Super Cup na pia kombe la mataifa ya Ulaya akiwa na Italy.
Lakini kati ya sasa na May kwa Arsenal kumsajili Jorginho ni kwamba wamesajili uzoefu na "winning mentality".
Bado Arsenal wanahitaji DM na watarudi kwa Caicedo na Declan Rice ifikapo Julai 1.
Tusubiri hadi wakati huo.
Sasa Hivi ana miez karibu mitatu kimya Kama hawaoni vile Kazi yake , akikosea kosa moja LAWAMA KAMA ZOTEUmesahau beki mrefu Gabriel, watu wamemtukana sana humu, lakini kila zikiletwa stats anaonekana yuko vizuri
You are just another confused fan with access to smartphoneWewe usajiri gan wa Arteta uliwai kukubaliana nao
Ramsdale mpaka kesho unamtilia mashaka ,mechi na Spurs ukamsifia Lloris akakuumbua
Kina odegad ,Tomiyasu, sajiri zote za Arteta unazipondaga
Kupigwa kupo ila 90% Sajiri za Arteta zimekuvueni nguo
Sishangai kupinga ujio wa Jojinho
Bado natasaka sajiri gani ya Arteta umewahi kubali
Ulisema asisajiliwe Partey aletwe auor na odegad sio AM
Acheni umbambamba
Arteta, mbona aliongea wiki iliyopita baada ya deal la Trossard kukamilika si lazima wasajili mchezaji wa 20's wataangalia na soko na quality.Jorginho wote tumemuona.
Huwezi kutudanganya kwamba alikua mzuri sana kama vile wengine hatuna TV.
Project ilisema mchezaji asiwe na zaidi ya miaka 25. Akaja wa miaka 28, 28 ni umri ambao wengi hua kwenye prime na atakaa hapo hata after 30 so it is fine.
Sasa kaja wa 30+
Kichekesho ni kwamba kuna watu wanaamini makocha hawakosei, wakisema fulani ni mzuri basi neno lao ndiyo tulishikilie. Ferguson alipigwa, Wenger alipigwa, Pep kapigwa, Arteta na wenzake ni nani wasipigwe kwamba wao wakiongea tusijiulize kua hapa waliwaza nini?
Yaani idea yenu ni kwamba wote tuwe na akili moja? Hilo haliwezekani.
Jibu hoja wewe Ni pinga pinga huna unalojua ulilalamika Artata hasajili AM, Mpaka leo hakuwahi kumletaYou are just another confused fan with access to smartphone
Hili jukwaa la Arsenal, mshabukiSio nakufuatilia ila wewe ndio una kiherehere kupost humu asbuhi mpaka usiku maoni Yako ukiongozwa na hisia. Unadhani ungekua haupost utumbo ningekua na muda na wewe? You're misinforming people ndio maana tupo hapa kuweka rekodi sawa.
Hauna credibility yoyote ya mtu kutaka debate na wewe, ila labda kueleweshwa maana hauna unachojua zaidi ya ushabiki kichaa.
Nani anakudanganya?! Arteta na Edu?! Au benchi la ufundi la Arsenal?!Jorginho wote tumemuona.
Huwezi kutudanganya kwamba alikua mzuri sana kama vile wengine hatuna TV.
Project ilisema mchezaji asiwe na zaidi ya miaka 25. Akaja wa miaka 28, 28 ni umri ambao wengi hua kwenye prime na atakaa hapo hata after 30 so it is fine.
Sasa kaja wa 30+
Kichekesho ni kwamba kuna watu wanaamini makocha hawakosei, wakisema fulani ni mzuri basi neno lao ndiyo tulishikilie. Ferguson alipigwa, Wenger alipigwa, Pep kapigwa, Arteta na wenzake ni nani wasipigwe kwamba wao wakiongea tusijiulize kua hapa waliwaza nini?
Yaani idea yenu ni kwamba wote tuwe na akili moja? Hilo haliwezekani.
Yeah kila mtu anakosea ndiyo mbona nimesemaArteta, mbona aliongea wiki iliyopita baada ya deal la Trossard kukamilika si lazima wasajili mchezaji wa 20's wataangalia na soko na quality.
Jorginho kwa mtu wa mpira nani asiyemjua. Kila mtu anakosea mkuu. Hilo huwezi kukwepa.
Our worst ten games. Odegaard alikua wapi?Jibu hoja wewe Ni pinga pinga huna unalojua ulilalamika Artata hasajili AM, Mpaka leo hakuwahi kumleta
Bali Ni odegad maestro
Ulimtukana Sana Ramsdale ,n.k
Acheni ubabaishaji
Hakuna mtu anakwambia usujudu. Benchi limeamua wewe nani unapinga? Wewe toa tathmini yako basi sio unatoa tathimini yako huku unapinga wengine na kulaumu kocha na timuYaani hawa mashabiki wanataka mchezaji akisajiliwa wote tusujudu.
Mimi mpira naangalia sifuatilii livescore. Kama anayesajiliwa nimewahi kumuona nitasema nilichokiona wakati Tomi anakuja nikasema jamaa ni CB naturally so hatooffer mchango attack wise kwenye upande wa full back
Shabiki mmoja anakuja kuniambia niliponda usajili haya niambie Tomi ana assists ngapi? Kwanini tunamtaka Fresneda?
Kuna mashabiki wapuuzi sana. Anawashiwa hotspot na cha kwanza anachowaza ni kupinga watu.
Partey anakuja huku tulikua na idea ya kuleta AM na DM kwa pamoja too bad akaja DM, nikasema this means tutakua butu and we were.
Tunapoteza games simply kwakua our most lethal man hapati mipira kwenye hili jukwaa nipo peke yangu wewe ulikua wapi? Livescore?
Hatutakuja fanana mawazo mara zote. Jitahidi uelewe, kama una hoja weka, huna kaa kushoto hamis77
Hakuna mtu anakwambia usujudu. Benchi limeamua wewe nani unapinga? Wewe toa tathmini yako basi sio unatoa tathimini yako huku unapinga wengine na kulaumu kocha na timu
Kwa hiyo Rams anacho-offer ni kitu gani mkuu? Na kwa nini Arteta & Co wakaona ni bora Leno aondoke abaki Rams? Toa ufafanuzi hapo.Our worst ten games. Odegaard alikua wapi?
Na hili sitakuja kulificha juu ya Ramsdale na nimesema mara zote yeye siyo shot stopper hutaki kaa kushoto.
Mkuu, kuna mahali humu niligusia suala la timu za Ulaya au soka la Ulaya kuongozwa sana na teknolojia kwa sasa hivi.Kwa umri wake hakuna anayeamini kwamba huyu ni wa muda mrefu na ni crucial starter
Swali ni je kwa style yake ya uchezaji atatoa hiyo cover tunayoitaka?
| Premier League Since 21/22 | Jorginho (per 90) | Partey (per 90) | Caicedo (per 90) | |
|---|---|---|---|---|
| Appearances | 47 | 40 | 26 | |
| Minutes | 3559 | 3426 | 2271 | |
| Goals | 8 (0.2) | 4 (0.11) | 2 (0.08) | |
| Assists | 2 (0.05) | 1 (0.03) | 2 (0.08) | |
| Chances Created | 34 (0.9) | 31 (0.8) | 24 (1) | |
| Distance covered (km) | 437.7 (11.1) | 399.9 (10.5) | 257.9 (10.2) | |
| Passes | 2761 (69.8) | 2247 (59) | 1341 (53.1) | |
| Passing Accuracy | 88% | 86% | 87% | |
| Passes Ending Final 1/3 | 806 (20.4) | 624 (16.4) | 372 (14.7) | |
| Forward Passes | 792 (20) | 636 (16.7) | 367 (14.5) | |
| Through Balls | 10 (0.3) | 13 (0.3) | 8 (0.3) | |
| Carry Distance (m) | 4311.4 (109) | 4700 (123.5) | 2445.1 (96.9) | |
| Tackles | 106 (2.7) | 79 (2.1) | 68 (2.7) | |
| Interceptions | 57 (1.4) | 42 (1.1) | 36 (1.4) | |
| Possession Won | 327 (8.3) | 277 (7.3) | 170 (6.7) | |
| Dribbled past by opp. | 77 (1.9) | 40 (1.1) | 15 (0.6) | |
| Duel Success | 52% | 54.2% | 57.8% |