Umezoea kuongea upupu aliyeuliza swali anafahamu maana yake, Wacha kuruka ruka kama kunguru. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wengine chijui walikimbia umande? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hawawezi hata kusoma data!
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini? Data zipo kaangalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
Ulisema hivi.....
Ukaja kujibu hvo.....Mkuu check away stats hapo najua kuna wanoko hawapendi lakini huo ndio ukweli.
http://info.nowgoal.com/football/en/score/2010-2011/36.htm
Mkuu piga kimya tu....tunakuheshimu sana sisi wenzako.
BTW Wasaalam Mbu.
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini? Data zipo kaangalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
Ulisema hivi.....
Ukaja kujibu hvo.....
Mkuu piga kimya tu....tunakuheshimu sana sisi wenzako.
BTW Wasaalam Mbu.
Jamaa kaamua kuongopa mchana kweupe!! Hana tofauti na "Dr." Kikwete!
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini? Data zipo kaangalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
Ulisema hivi.....
Ukaja kujibu hvo.....
Mkuu piga kimya tu....tunakuheshimu sana sisi wenzako.
BTW Wasaalam Mbu.
Mkuu Wacha kelele kama uko kwenye mgahawa wa kijiweni, hakuna siri stats zipo hapo in black and white chacha kama ulikimbia umande siwezi kukusaidia zaidi ya hapo, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unless kama unawasikiliza mafioso team ambao kwao ushindi ni wa kununua tena kwa pesa ya tajiri wao.
Mjomba mbishi kama FMES hahaha...nimekoma na wewe yani unabishana na statistics za Premier League wenyewe? Wewe kweli kiboko anyway Happy Easter.Mkuu Wacha kelele kama uko kwenye mgahawa wa kijiweni, hakuna siri stats zipo hapo in black and white chacha kama ulikimbia umande siwezi kukusaidia zaidi ya hapo, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unless kama unawasikiliza mafioso team ambao kwao ushindi ni wa kununua tena kwa pesa ya tajiri wao.
Mjomba mbishi kama FMES hahaha...nimekoma na wewe yani unabishana na statistics za Premier League wenyewe? Wewe kweli kiboko anyway Happy Easter.
Donge baya hilo mpira tu huu chacha hizo figures nazo hukubali mimi nichakachue ili iwe nini? Nilikuwa najibu swala la defense ya Arsenal kuwa mbaya na nikasema away stats zinaonyesha Manure defence yao ndio mbovu kuliko Arsenal, chacha kuna waliokimbia umande hapa hata data hawawezi soma imekuwa nongwa. Sishangai kwa sababu kila kitu wao hutegemea uncle Tom, wamelemazwa baada ya kukosa kitabu sasa wamebaki yatima wanategemea Russia Mafioso khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hapo kwenye nyekundu wacha UONGO hukusema away stats you simply said;Donge baya hilo mpira tu huu chacha hizo figures nazo hukubali mimi nichakachue ili iwe nini? Nilikuwa najibu swala la defense ya Arsenal kuwa mbaya na nikasema away stats zinaonyesha Manure defence yao ndio mbovu kuliko Arsenal, chacha kuna waliokimbia umande hapa hata data hawawezi soma imekuwa nongwa. Sishangai kwa sababu kila kitu wao hutegemea uncle Tom, wamelemazwa baada ya kukosa kitabu sasa wamebaki yatima wanategemea Russia Mafioso khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Beki yetu imekuwa inammiss sana T5 ambaye hakucheza msimu mzima tulitegemea angekuwa ok Jan/Feb lakini hakuweza kurecover, vile vile tumekuwa tunapigwa vita sana na the whole media machinery na Mafioso wakimwaga mpunga kama vile wamepata kichaa.
BTW hii mechi inafanya mechi ya weekend na Manure kuwa formalities tu kwa sababu sioni haja ya kuwakata nishai na kuwa na kelele za mafioso.
BTW defence ya Arsenal statistically ni nzuri kuliko ya Manure .... ...
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini? Data zipo kaangalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
Mkuu hizo ni facts sasa kama hutaki shauri yako. Nafikiri wengi hawaelewi sports in general how is run and how manipulative it can be through the media etc. Why Wenger wanamwandama 'cause he is the most succesful manager and not British or Scottish
Mkuu Arsenal is a major club and watchout timu zote kama Mafioso etc wanafahamu Arsene amefanya nini na wanatamani pesa zinazopatikana kama wangekuwa wao just watch down the line. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mabadiliko yanatakiwa yaanze kwa kumuondoa Wenger! Mafanikio aliyoyapata yanatosha! Sasa hiv kashaishiwa mbinu na anaonekana kuipeleka timu pabaya!
Arsenal inahitaji meneja mpya!
Donge baya hilo mpira tu huu chacha hizo figures nazo hukubali mimi nichakachue ili iwe nini? Nilikuwa najibu swala la defense ya Arsenal kuwa mbaya na nikasema away stats zinaonyesha Manure defence yao ndio mbovu kuliko Arsenal, chacha kuna waliokimbia umande hapa hata data hawawezi soma imekuwa nongwa. Sishangai kwa sababu kila kitu wao hutegemea uncle Tom, wamelemazwa baada ya kukosa kitabu sasa wamebaki yatima wanategemea Russia Mafioso khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Queen Elizabeth is a self confessed Arsenal fan. Link -> dailymail.co.uk/news/article-450089/The-Queen-self-confessed-Arsenal-fan.html
khe khe khe heheheeeeeeeeeeeeeeeeeee... arses, a team other like to come from behind and inflict pain on their back, huhuuuuuuu what a gay team on earthMkuu check away stats hapo najua kuna wanoko hawapendi lakini huo ndio ukweli.
http://info.nowgoal.com/football/en/score/2010-2011/36.htm
Scezney alinaicha hoi alivyoamua kukaa ndani ya nyavu na kunywa maji...