Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,069
- 8,749
Bayern wanamtaka, wanamtoa kwa mkopoUnamaanisha amemuuza ama?
Bayern wanamtaka, wanamtoa kwa mkopoUnamaanisha amemuuza ama?
MkopoUnamaanisha amemuuza ama?
Kwa sababu focus yetu ni Enzo FernandezKuna pumba nyingine tunaziacha nyingine ,tunabid kuzijibu kuondoa uzushi na uongo.
KSE wameichukua Arsenal 100% mwaka 2018, wamemsapoti Arteta kila anapohitaji , huo UBAHILI unaousema wewe ungeulezea
Arsenal kaanza na £60m fixed had Sasa £70m ,wewe unaropoka unasema wabahili ,
Pamoja na hayo Arsenal chini ya Arteta ambaye ana nguvu kubwa kwenye Usajili inafanya usajili na kulipa pesa kwa kuthaminisha bidhaa
Mbona Nyie kwa Caicedo mmeishia £55m mkaachana nae ,mmerukia kwingine
Ongezeni bana, tajiri miluzi yupo.Hii issue ya Enzo na Benefica imekuwa ngumu aisee
Chelsea imetoa Eur mil 120 lakini sio kwa kulipa yote
mil 60 kwanza na iliyobaki kwa installments
Benefica wamekataa na wako tayari kumboreshea mchezaji mshahara na terms zingine ilingane na Chelsea walivyomuahidi
Enzo Fernandez told Benfica he wants to join Chelsea.
The latest €120 million offer matches the release clause but is paid in instalments.
Benfica say they will not sell and offer the midfielder new financial terms to match Chelsea's proposal.
Isikupe shida hawawezi kukataa tukifika mil 80 na iliyobaki tunalipa kwa mafunguOngezeni bana, tajiri miluzi yupo.
Katoeni nyie man u hiyo £80mHizi arsenal ndo kusema amna hela au nyie kila mchezaji ni kulialia nae tu yani timu kweli aina record yakumnunua mchezaji hata wa pound 90 hivi mpo serious kweli nyie.
Cha ajabu mnaumia eti man u tumepigwa kwa Antony kama nyie hamuwezi kutoa hela kuna watu wanatoa na maboss zenu wa endelee kufanya utani kesho dirisha la usajili linafungwa na unajua kuna wachezaji wanachezaga vizuri dirisha likifunguliwa ili wasiwekwe pembeni ngoja dirisha lifungwe mtafurahi.
Tuache utani kuwa na boss kama wa the blues raha sana yani vile mashibi ndo tunapendaga maana hela hatutoi sisi kazi ya boss ni kuwafurahisha mashabiki wake.
Hakika Mungu ni mwema.Umesema ukweli ila tu nikwambie kwamba asilimia 60 ya michezo migumu arsenal imeshacheza na imepoteza mmoja tu.
Tumu zote ni ngumu ila huwezi kuwa bingwa uingereza bila kuwachakaza vigogo jambo ambalo arsenal wamefaulu kwa 60 % hivyo sina wasiwasi gemu na mancity tutapata ushindi pia mbele ya Pep.
Sisi hatutoi hela wanatoa maboss sisi tunachotaka ni kupewa furaha kwani mnatoa nyie mashabiki mpaka kiwaume?Katoeni nyie man u hiyo £80m
Sasa Kuna umuhimu gan wakusajili kwa Bei kubwa halafu wachezaji wenyewe kina Sancho au Anthony
Kwenye usajili kila Timu Ina Sera zake
wewe umeshatoa ngapi kule MAN U??au umekalia UCHOKO tu??usilete UCHOKO wako humu,hatuhitaji MITAROSisi hatutoi hela wanatoa maboss sisi tunachotaka ni kupewa furaha kwani mnatoa nyie mashabiki mpaka kiwaume?
Sancho had Sasa ameleta furaha gani au Anthony je ?Sisi hatutoi hela wanatoa maboss sisi tunachotaka ni kupewa furaha kwani mnatoa nyie mashabiki mpaka kiwaume?
Muhimu tushushe DM, lokonga hatoshiKuna haja ya kutuliza akili kwanza,anaweza kuja caicedo na bado aka underperfom.sera za usajili na mishahara ni muhimu zikazingatiwa.
midfielder was linked with #AFC earlier this window. Gunners still hopeful of Moises Caicedo deal if Brighton can bring in a replacement. More to follow on @ArsenalFC_fl soon.Hii kitu inaweza kwenda hadi dakika za mwisho tukashindwa kumsajili Caicedo na tukashindwa mpata kiungo mwingine tayari Zubimendi anaitaji kubaki hadi mwisho wa Msimu.Real Sociedad are adamant Martin Zubimendi will stay this window.midfielder was linked with #AFC earlier this window. Gunners still hopeful of Moises Caicedo deal if Brighton can bring in a replacement. More to follow on @ArsenalFC_fl soon.