juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Yeah Pep alimtaka, Sarri akapita nae.Since kitambo Arteta na Pep wamekuwa wakimuhitaji sana
Kama unakumbuka alitakiwa awe kwa Pep
Kuna fans wapo tayari tubaki na lokonga halafu tugombee EPL na Europa
Caicedo wamekaza kumuachia
Hapa Chelsea ni kama wanataka kupata faida maana summer anaondoka bure, na mpk sasa hakuna dalili ya kuongezewa mkataba.
Mkileta hata 20M itakuwa sio mbaya japo nitaumia.