toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
USAJILI?
Yes its purely an art of mind roaming though a mysterious business triangle.the triangle is simply made of
-player involved in transfer
-origin team that own a player
-the destination team.
Its a game of patient under limitation and time bonds
Dizerb kocha wa BHA as master tactician kasha explore tectically and technically kuhusu position ya mchezaji wake ndani ya arsenal na wachezaji wengine walioko sokoni na akajihakikishia kwamba hatuna the very best plan B.Anajua kwa phylosophy ya arteta na mahitaji ya project yetu kwa hapa tulipo lazima tutafika bei. Na huyu muhuni anazingatia yafuatayo katika kutukazia
1-position yetu kwenye league.anajua we are adamant after 20yrs za ukame wa epl trophy hatuko tayar kuachia position yetu kwa changamoto ya ufinyu wa kikosi
2-tactical na technical qualities na uzoefu wa mchezaji wake hatuwezi kuupata kirahisi sokoni kwa option zilizoko.
3-Kosa la arsenal january ya 2022 la kutosajili lilivyoigharimu team nafasi UEFA
4-Presha ya wamiliki kwa technical staffs(edu na arteta).wamiliki wametoa almost everything na anaamini watakuwa wanawapa presha kwamba wachukue ubingwa.
5-The emergency of chelsea and Newcastle owners as insane spenders.Anaamini saga ya Mudrick imewaachia arsenal somo kubwa kwenye kuspend pesa na matokeo ya somo hilo yanaonekana kwa usajili wa trossard na jakub kiwior hivyo anaamini tutaaachia tu.
6-Anaamini caisedo anaweza akaongezeka thamani zaidi kutokana na position watakayomaliza nayo kwenye ligi.
My take.najua wengi wanalilia sana huyu dogo aje ila its totally a gamble and daylight robbery kwa €100.
Hahaaaa hatujasema tunataka kombe,ila likija hatuna ujasiri wa kulikataaa