Arsenal (The Gunners) | Special Thread

“Chelsea's return to trying to sign Enzo Fernandez after Arsenal entered to sign Moises Caicedo.

Arsenal is now applying to sign the Ecuadorian player, who asked Brighton to approve his sale to Arsenal.”

@NizaarKinsella on Caicedo and Enzo Fernandez
 
Nimemfuatilia Enzo kuanzia World Cup mpaka sasa kwenye ligi yao.

Ni overrated player.

He can do passing na ni press resistant lakini sio kwa €120m ambayo Chelsea wanaenda kuitoa.

Na bahati nzuri Benfica wanapenda sana michezo ya kihuni, yani wamewavuta Chelsea mpaka kwenye asking price yao.

That's a lot of money for such a player.

Benfica mungu anawaona. Wamenunua €15m. Ghafla watu wanadai €120m. WC imempandisha mtu bei within a month.

Ila waacheni watoe tu, si mfuko wanao. Kuna sajili zikienda timu pinzani zitaniuma lakini sio Enzo.
 
🤣🤣🤣 Sizitaki hizi mbichi Enzo kwetu ndio mchezaji sahihi muda mrefu pale Kati tumekosa midfielder mwenye uwezo wa kupiga long passes kama Lampard Enzo ni mzuri kwenye Hili eneo, atatusaidia kwenye ukabaji na ni mzuri kwenye passes na pia workrate yake ni kubwa ndio maana chelsea at any cost inamuhitaji regardless of his price tag
 
ARSENAL ITARUDI AU ITA MOVE ON?


Arsenal submitted 2nd offer tonight for Brighton & Hove Albion midfielder Moises Caicedo. Latest proposal for Ecuador international £65m + £5m add-ons rejected. Despite #BHAFC reiterating stance 21yo going nowhere, #AFC clearly still keen @TheAthleticFC
 
Bei yake nikutokana na Release clause waliyoiweka wakat wanamsajili

If unafatilia mpira wa league nyingine hata kabla ya world cup, jina la Enzo lilikuwa lishaanza kuimbwa, world cup imekuja tu kupigilia msumar kwa watu ambao walikuwa hawamfaham.

Ni sawa na leo hii dogo Endrick hajacheza game yoyote ya team mkubwa ila jina lake lilikuwa lishaimbwa na almost vilabu vyote vikubwa vilikuwa vinamtaka..

Kama unafatilia league nyingine utakuwa tu unawaskia hata kama huwaoni ila habar zao unaziskia ni sawa na leo hii watu wanavyoanza kuwazungumzia wakina Koudao Kone,Enzo Lee Fee,Coqueret,Zubimendi etc
 
Huyo waachane tu naye watafute mchezaji mwingine maana wanaweza wakapoteza muda wao kwa hiyo dogo na dirisha likafungwa
 
Morinho aliwahi kulisema hili, wachezaji wamekuwa so overpriced, thamani yao na bei sokoni haviendani hata kidogo. Mudryk kununuliwa kwa 89 ni ghali sana, basi tu michezo imekuwa biashara kubwa kuliko.
Alafu angalia katokea ukraine huko ,,,,,

Njoo kwa Chelsea wanaenda toa £120m kwa enzo

Soko limekuwa gumu, ukichemka wenzio wanalipa hela ,,,,

Summer Napoli watafanya biashara nzuri Sana wakiamua kuuza baadhi ya stars wao !!!!
 
Haya na hio £70m yenu tayari imeshakataliwa mshamove on?
nilishawaambia sasa hivi hizo bargains zenu za kulialia haziwasaidii kitu soko limeshabadilika tayari.
Toeni hio £80m chap ili mjihakikishie kuwepo kwenye top4, dirisha likifungwa bila kusajili MF Europa inawahusu tena msimu ujao, hamuwezi kutoboa kwa kutegemea Zambi za Lukonga kama mbadala wa Thomas Chapati.
Will Jr pamoja na mapepe yake lakini alishakubali Caicedo potential yake ina deserve £80m Arsenyani msijivutevute hamtajuta kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…