Kwa mpira anaocheza lokonga ni bora arsenal watoe 80 ili huyu asajiliwe.
Sasa mpira mzuri unawasaidia nini kama kila kombe mnatolewa?Sisi tunaimarisha kikosi, wewe endelea kujifariji na Arsenal kupoteza leo ,maana umepata ahueni
Ila sisi tunaangalia positivity
Kwa mpira wa leo city ajipange Sana
Arsenal wanachojua ni kupiga pasi na kukimbia tu kama 'a headless chicken' matokeo yao itategemea na opponent wao atafanya errors kiasi gani.Yule aliyesema Saka anakabwa na watu watatu Yuko wapikwel arsenal Ina empty headed fans wengi ,zero brain
Ake pocketed Saka and scored the only goal of the Match.
Hata Mudrky alisema ivo ivo,pesa inaongea....halaf sioni mchezaj wa bei hiyo apo,bas tu kiuingereza ngerezaKuna mtu aliropoka humu et Caicedo sijui hawez kuitaka Arsenal, sijui ana profile kubwa
he didn’t do that when Chelsea bid 55mView attachment 2497731
Mechi ilionekana tu kuwa wachezaji mpaka makocha wanaogopa kwaiyo sikutegemea magoli kabisa.hii mechi ya leo sioni kama itakuwa na magoli mengi sana kuna uwezekano mmoja akashinda 2_0 au 1_0 au 0_0 magoli mengi leo yanaweza kuwa 2_1.
Acha kulialia mcheza kwao utunzwa wewe piga goli zakueleweka sio za ujanja ujanja.Hii ambayo leo kwa Arsenal imeonekana offside iangalie na goli la kwanza la United dhidi ya City
Nyie jamaaNdio nilichokiona aisee, City kumbe wameisha Hivi
Huyo Ni muingereza? Huoni kwani pesa unatoa wewe?Hata Mudrky alisema ivo ivo,pesa inaongea....halaf sioni mchezaj wa bei hiyo apo,bas tu kiuingereza ngereza
Nilisema wapi, mm nazungumzia tulivyocheza nao Jana tunapishana,Nyie jamaabwana hata msimu ulioisha mlisema hivi hivi.