Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Man city aache kuishi kwa mazoea
Huyu dada mla mayai ana mdomo mchafu sana, muda wote yeye mitusi inamtoka tu, mashabiki kama hawa ndio wanaoifanya Arsenal ionekane ni timu ya vijana wa hovyohovyo waliokosa malezi.Dada kitulize basi
Kwani katokea wapi uyo? Sio kenge wa darajani?Huyu dada mla mayai ana mdomo mchafu sana, muda wote yeye mitusi inamtoka tu, mashabiki kama hawa ndio wanaoifanya Arsenal ionekane ni timu ya vijana wa hovyohovyo waliokosa malezi.
Eti Holding needs to be subbed,who are???UCHOKO huo
Hilo ni kima lenu la humuhumu, hua linanitukana mitusi michafu michafu nikiwa nawazingua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani katokea wapi uyo? Sio kenge wa darajani?
Ha ha ha...Mtu mzima wanampima umri wake sio utani huo [emoji1787]
Holding anatumia sana mikono kukaba kama mcheza rugby. Hana hadhi ya kucheza arsenal.Yan kadi ya njano ya holding imenifanya nimetukana sana, anachofanya ndo kile kile alifanya dhidi ya Tottenham last season, kukamia mechi kupita kiasi