Upo sahihi asilimiahii mechi ya leo sioni kama itakuwa na magoli mengi sana kuna uwezekano mmoja akashinda 2_0 au 1_0 au 0_0 magoli mengi leo yanaweza kuwa 2_1.
Talks are ongoing between Arsenal and Brighton about Moises Caicedo
- Tackles + Interceptions: CAICEDO (78), Partey (55), Saka (32)
- Progressive Passes: Partey (85), CAICEDO (80), Odegaard (80)
- Through balls: Odegaard (13), CAICEDO (7), Partey (4)


Toad Bully akiona hizi stats Mzee....Moises Caicedo vs. Arsenal’s midfielders in the Premier League this season:
- Tackles + Interceptions: CAICEDO (78), Partey (55), Saka (32)
- Progressive Passes: Partey (85), CAICEDO (80), Odegaard (80)
- Through balls: Odegaard (13), CAICEDO (7), Partey (4)
![]()
TumekwishaToad Bully akiona hizi stats Mzee....
Trossard anaanzaLeo Arteta aweke full mkoko aisee, japo tutegemee baadhi ya changes 3 mpaka 4.
Possible XI:
Turner; Gabriel, Saliba, Tierney, Tomiyasu; Partey, Xhaka, Ødegaard; Saka, Martinelli, Nketiah.
Nitapenda sana akianza Zinchenko but we can't risk him coz tuna mechi 19 za EPL zinatusubiri. Vile vile Ødegaard angepumzishwa but Fabio Vieira can't deliver what Ødegaard can.
Pia nitapenda sana kumuona Trossard akianza coz he is a finished article.. he doesn't need more time ku cope though Martinelli atawasumbua vizuri tu.
Jakub Kiwior akipata some minutes itapendeza sana.
Mwisho kabisa tupo tayari kwa kikosi chochote atakachopanga Mikel.
Good luck tonight gunners!
Huyu Fabio Vieira huwa ananikumbusha enzi za Robert Pires ni mchezaji ninayesubiria kuona akifanya vitu vikubwa saana.Trossard anaanza
Ila ningependa kumuona Fabio vieira huyu jamaa Ni fundi Sana ,
Sehemu ya kupiga atapiga ,mechi ya mwisho FA cup alitoa assist 2
Mech Kama hizi inategemea na lineup atakayokuja nayo kocha , kabla ya lineup inakuwa ngumu ku predict tofaut na mechi za ligi ,Hata ukiniamsha saa 8 usiku, lineup yetu inajulikanaHuyu Fabio Vieira huwa ananikumbusha enzi za Robert Pires ni mchezaji ninayesubiria kuona akifanya vitu vikubwa saana.
Aaron Arsenal huu mchezo wa leo unautazimia vipi hasa kwenye mbinu kwa makocha wote wawili ? Na ni taswira halisi kwenye mbio za ubingwa ??
EXCLUSIVE:
Arsenal to make new improved offer for CaicedoUmeweka vema sana mkuuMech Kama hizi inategemea na lineup atakayokuja nayo kocha , kabla ya lineup inakuwa ngumu ku predict tofaut na mechi za ligi ,Hata ukiniamsha saa 8 usiku, lineup yetu inajulikana
Pia na maono yangu Kutokuwepo kwa jesus ni kama kumeadhiri kidogo kiwango cha Martinell kwa sababu Jesus na Martinell zile mambo za kubadilishana nafasi wakiwa uwanjani saiv hatuzioni tena kwa Martinell,MAONI YANGU
Sijui Mimi au na wenzangu mmegundua kuhusu utofauti wa uchezaji wa Nketiah na Jesus
Nikianza na Eddie nketiah ni namba Tisa mzuri sana pale inapokuja ishu ya ufungaji Ila kwenye suala la kumiliki mpira na kusumbuana na mabeki hicho kitu huyu mzee baba anacho Ila ni cha kawaida sana
Ukija kwa Gabriel Jesus huyu mwamba ukitaka mpira utulie mguuni na ufichwe na beki zisicheze kwa kutulia basi hiyo kazi kwake ataifanya kwa uhakika zaidi Ila kwenye suala kujiweka kwenye nafasi hicho kitu kwake amezidiwa na Eddie nketiah
Na pia Eddie nketiah kwenye mikimbio na kukokota mpira na zile papatu za mabeki binafsi napenda aina ya namba Tisa zinazojua goli na pia zenye uwezo wa kusumbua na kuzinyanyasa beki
Mfano wa namba Tisa kama Aguero Benzema Suarez Van persie au Lewandowski Ila dunia ya Leo ilipo wapo wachache sana ambao wanasifa kama hawa
Kuna muda natamani Eddie au Jesus wachanganye mwili uwe mwili mmoja hakika tungekuwa na namba Tisa yenye kila kitu
#COYG#
#ONCEAGUNNERALWAYSAGUNNER#View attachment 2497586
Arsenal have identified Caicedo as their top midfield target this month and Mikel Arteta’s side are now pushing to complete a deal.
Wewe jamaa una akili Sana, binafsi nilikuwa sijagundua kipi kimefanya martinelli apungue , nimeshindwa kupata jibu ,leo ndio nimepata jibu ExactlyPia na maono yangu Kutokuwepo kwa jesus ni kama kumeadhiri kidogo kiwango cha Martinell kwa sababu Jesus na Martinell zile mambo za kubadilishana nafasi wakiwa uwanjani saiv hatuzioni tena kwa Martinell,