J wizzy
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 459
- 537
Ana release clause ya £75M tu kwenye mkataba wake.Duuh hawa wanataka 100 nini?
Ila thamani ya uyu jamaa ni 70-75 basi
Ambapo Brighton wenyewe walimnunua kwa £5M tu mwaka 2021




Ngoja tuone nini kitatokea ndani ya hizi siku 4 zilizobaki kufungwa kwa dirisha hili.

️
#AFC

Arsenal hope this second bid will really test Brightons resolve, hoping to push a deal over the line quickly if it can get done 
