Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna jamaa shabiki wa arsenal alisema hawa jamaa hawakoseagi leo ukwapi?
Screenshot_20230127-061048.jpg
 
City vs Arsenal

Tonight.

Tunaweza kuzidiwa quality ya mtu Mmoja Mmoja kiwanjani but hatuwezi kuzidiwa quality ya Timu kwa ujumla.....(1).

Tunaweza kupata pressure ya cloudy but tunaweza kuabsorb hili na kufanya tunachotaka.

Tunajua Pep ni Master Tactician na ana quality ya juu sana kuliko Arteta but tuna Arteta yeye ni phenomenal anaweza kufanya chochote.

Mechi ya Leo inadefine msimu huu ukoje.
 


(ARSENAL) MABINGWA WA KIHISTORIA WA FA

Arsenal wameshinda michezo yao minne ya mwisho ya kombe la Fa dhidi ya Manchester City, wamefika hatua ya fainali kila mara walipoitoa Manchester City na wametwaa kombe hilo mara tatu zilizopita walipofanya hivyo.

Arsenal walipoteza mechi yao ya mwisho ya kombe la Fa dhidi ya timu inayoshiriki premier league, msimu wa 2020-21 walipofungwa 1-0 na Southampton katika round ya nne

hawajawahi kupoteza mara mbili mfululizo mchezo wa round ya nne ya Fa cup dhidi ya timu inayoshiriki premier league tangu January 2010 dhidi ya (Stoke) na March 2011 dhidi ya (Manchester United).

Eddie Nketiah amefunga mabao manne kwenye michezo tisa ya kombe la Fa akiwa na Arsenal, na mabao yote hayo ameyafunga ugenini.

2020 dhidi ya Bournemouth / bao 1 (ugenini)
2020 dhidi ya Portsmouth / bao 1 (ugenini)
2023 dhidi ya Oxford United / mabao 2 (ugenini)

time - 23:00
stadium - Etihad stadium
 
My lineup prediction

4-3-3

Turner

Tomiyasu Saliba Magalhaes KT

Vieira Partey XHAKA

Saka Nketiah Trossard

Itakuwa poa Nketiah akipumzika Front three iwe

Saka Martinel Trossard
Nataman nimwone kiwior kwenye back line, zincheko katikati, Smith rowe nime miss show zake nataman pia nimwone maquinho na Nelson Kama winger wakitokea sub, nazaid jembe letu Trossard + fabio viera
Afu kumbe tunakikosi kipana tu,

first 11 yangu kwa leo

Tuner
Tomiyasu, White, kiwior, Tierney
Partey, Zincheko, Viera
Saka Nketiah Trossard
 
Nataman nimwone kiwior kwenye back line, zincheko katikati, Smith rowe nime miss show zake nataman pia nimwone maquinho na Nelson Kama winger wakitokea sub, nazaid jembe letu Trossard + fabio viera
Afu kumbe tunakikosi kipana tu,

first 11 yangu kwa leo

Tuner
Tomiyasu, White, kiwior, Tierney
Partey, Zincheko, Viera
Saka Nketiah Trossard
Smith Rowe hajasafiri na timu
 
Back
Top Bottom