Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea's initial proposal was rejected by Amadou Onana. However Sources close to Onana have not yet ruled out a transfer before the window shuts.

(@Matt_Law_DT )

- Player also of interest to Arsenal.
Huyu Arsenal mumchukue, huyu hawez kuja improve mid yetu,

Better kutafuta work permit na kumpa nafas Andrey Santos till mwisho wa msim then turudi kutafuta mid nzuri
 
Inawezekana hata Arsenal isifikie profile ya Inter Milan sasa sembuse kuifananisha na Chelsea. Bwa Mdogo jichunge
Hiki kitimu cha 2000's

Nyie shabiki wengi wa Chelsea ni badobado sana......maana mmeanza kupenda soka miaka ya 2000 wengi mmezaliwa miaka ya 95 kwenda mbele...
Wakati huo sisi tupo tunaangalia hii EPL kwenye Local Channels kabla ya haya ma DSTV yenu ambayo yamewafumbua macho na kuwaleta katika ulimwengu wa kabumbu

Unaniita bwa mdogo ila kipindi unazaliwa mimi ndio nawatazama kina Dani Petrescu,Tole ande Flo,Gianfranco Zola,Didier Deschamps,Marcel Dersaily ,Gianlucca Viarri na wengineo wanakipiga hapo Chelsea na sijawahi kuvutiwa nao maana walikuwa midtable team nikachagua Chama la kweli Arsenal ..
The pride of London.
 
Chelsea Kuna watu wanajua imeanzishwa 2005
 
Bwa mdogo punguza kipipi
JamiiForums-1049870428.jpg
 
Arsenal are firm admirers of Italian youngster (and Football Manager wonderkid ) Ibrahima Bamba. No bid placed but they’ve been tracking him for some time.

Other clubs in Premier League and beyond have Vitoria Guimaraes midfielder, 20, on their radar.

James Benge
 
Nimeona wakala wake kakanusha habari zilizosambaa
 
Hiki kitimu cha 2000's

Nyie shabiki wengi wa Chelsea ni badobado sana......maana mmeanza kupenda soka miaka ya 2000 wengi mmezaliwa miaka ya 95 kwenda mbele...
Wakati huo sisi tupo tunaangalia hii EPL kwenye Local Channels kabla ya haya ma DSTV yenu ambayo yamewafumbua macho na kuwaleta katika ulimwengu wa kabumbu

Unaniita bwa mdogo ila kipindi unazaliwa mimi ndio nawatazama kina Dani Petrescu,Tole ande Flo,Gianfranco Zola,Didier Deschamps,Marcel Dersaily ,Gianlucca Viarri na wengineo wanakipiga hapo Chelsea na sijawahi kuvutiwa nao maana walikuwa midtable team nikachagua Chama la kweli Arsenal ..
The pride of London.
DTV channel... zamani, umenikumbusha enzi zile mpira wa bure bila hata king'amuzi. We funga ki antenna chako basi.
 
Back
Top Bottom